NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
mKuu sisemi ni rahisi lakini astahmili kwa ajili ya wanawe sasa angalia 2kids na mume wa kwanza ,3kids na mume wa piliAcha kabisa mkuu chukulia ni ww unakuta sms kama hizo kwa wife wako labda na mtoto wa mwisho unagundua sio wako lazima aumie hata kama aliolewa na watoto wa5
Wewe ni ME au KE?Acha kabisa mkuu chukulia ni ww unakuta sms kama hizo kwa wife wako labda na mtoto wa mwisho unagundua sio wako lazima aumie hata kama aliolewa na watoto wa5
you have played your part..Mwisho wa siku yeye ndio mwenye maamuzi ya maisha yake.....Usijaribu ''kuuvaa'' uhusika wake sana..Amani ya moyo wake anajua wapi anaipata...Kuu sisemi ni rahisi lakini astahmili kwa ajili ya wanawe sasa angalia 2kids na mume wa kwanza ,3kids na mume wa pili
what is next? na kwenye ndoa hakuna raha tupu na tafran pia ipooo,mie mkuu nimeletewa mtoto wa miezi mi 2 siku narudi
Honeymoon niliona kama naonewa,lakini nimestahmili na maisha yanakwenda...
kweli mkuu ila nisingependa kuona wale watoto wanalelewa na mama mwengine sababau hukui huyo atakae kuja atakua na mapenzi kiasi gani na watoto..you have played your part..Mwisho wa siku yeye ndio mwenye maamuzi ya maisha yake.....Usijaribu ''kuuvaa'' uhusika wake sana..Amani ya moyo wake anajua wapi anaipata...
Mwanamke mkuu..Wewe ni ME au KE?
Uko sahihi Mkuu na sio mtoto mdogo labda useme ndio ndoa yake ya mwanzo ndoa ya pili alitakiwa asomeHuyo Mwanamke atulie tu asiwe na maamuzi ya haraka ya kukimbilia talaka.
Nnavyojua ndoa si lelemama na asitegemee mazuuuri tu bila changamoto.
Ingawa sijaoa ila naamini kukimbilia kuachana ndio tatizo kubwa zaidi hasa kwa watoto.
Mkuu I can understand lakini how many times ataolewa nakuachika? Hakuna mzuri wa moja kwa mojaMaumivu ya mapenzi ni mabaya sana bora kuacha kuliko kuja kufa kwa presha au magonjwa
Me dume la mbegu mkuu tusiwaonee dada zetu hawaWewe ni ME au KE?
Ni kweli mkuu akitulia atabadilisha maamuzi mwenyeweKuu sisemi ni rahisi lakini astahmili kwa ajili ya wanawe sasa angalia 2kids na mume wa kwanza ,3kids na mume wa pili
what is next? na kwenye ndoa hakuna raha tupu na tafran pia ipooo,mie mkuu nimeletewa mtoto wa miezi mi 2 siku narudi
Honeymoon niliona kama naonewa,lakini nimestahmili na maisha yanakwenda...
wifi yako kuachika siyo tatizo kwake ... we ndiyo unaona tatizoMkuu I can understand lakini how many times ataolewa nakuachika? Hakuna mzuri wa moja kwa moja
na sio kama namtetea my bro ila yeye akiwa kama mwanamke ajue mbinu za kumzuwia mumewe,talaka sio solution...
Hapo niko na wewe shosti,yeye ana gari nzuri na kila mwaka anabadilishiwa gari,watoto wana gari ya shule na driver waoniwe mkweli tu akiwa finacially okey naishi naye na si kwamba namvumilia no naishi maisha kama vile nipo na business partner ndani .. aniguse asiniguse atajiju .. nitakapo mbana ni matumizi ya home na watoto wasome shule nzuri.. uhuni wanafanya ila akishatakiwa kutoa milioni kumi kwa mwaka akili itamkaa sawa.... sema kama hana uwiii nijiweke pembeni sababu soon ataniletea mizigo yake
mie tatizo ni watoto watapata tabu na mama mwengine,hakuna kama mama duniani....wifi yako kuachika siyo tatizo kwake ... we ndiyo unaona tatizo