Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
NakaziaMke ni mtamu 🥰🥰😋😍😍
NakaziaMke ni mtamu 🥰🥰😋😍😍
Wale tunaolala peke etu haituhusu, tuvae tu vikoti vya sensa tugeukie ukutaniBila picha siamini😅
Unajua hujatulia kabisa wewe🤣Wale tunaolala peke etu haituhusu, tuvae tu vikoti vya sensa tugeukie ukutani
Hongera kumbe we ni wale wa kuvaa pajama sare na bae wako, mi nalala na kikoti cha sensa 😁Unajua hujatulia kabisa wewe🤣
Si huwa unakwepa mishale yangu?Hongera kumbe we ni wale wa kuvaa pajama sare na bae wako, mi nalala na kikoti cha sensa 😁
Sasa mshale na mshale zitakutana kweli woiiii😂Si huwa unakwepa mishale yangu?
Hutaki ule wimbo wa (gusanisha🤣🤣🤣)
Phala wewe🤣🤣🤣Sasa mshale na mshale zitakutana kweli woiiii😂
Naweza kukuuliza swali?Sasa mshale na mshale zitakutana kweli woiiii😂
Hapana hapana usiniulize mi naumwa kichwa 😂😂😂Naweza kukuuliza swali?
Darini.Ufafanuzi tafadhali. Yaani upande wako wa kushoto kama umelalia mgongo (umeangalia darini), au kama umelalia tumbo?
Bado hajajua kama nao ni uchafu sawa na zile wigiMbona emoji na makopakopa kibao[emoji16]
Hongera kumbe we ni wale wa kuvaa pajama sare na bae wako, mi nalala na kikoti cha sensa 😁
Ewe Mwanaume Mwenzangu fanya yoooote lakini hakikisha Mkeo analala Upande/Mkono wako wa kushoto au Upande ambao Moyo wako ulipo. Tangu unajenga nyumba au unapangilia kitanda chako hakikisha matoeo yawe hivyo. Wale mliopita Jando mnaelewa nguvu ya dhana hii kimapenzi, Kibaiolojia na hata Kiusalama📌
Yani kama ulikuwepo nna vikoti viwili vina reflector kabisa ndio huwa nalaliaKabla ya sensa ulikua ukivaa vya Bodaboda au vya wakandarasi?