Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,864
- 6,872
🤪Hahahaaa!!
🤪Hahahaaa!!
[emoji16][emoji16][emoji16]Ewe Mwanaume Mwenzangu fanya yoooote lakini hakikisha Mkeo analala Upande/Mkono wako wa kushoto au Upande ambao Moyo wako ulipo. Tangu unajenga nyumba au unapangilia kitanda chako hakikisha matoeo yawe hivyo. Wale mliopita Jando mnaelewa nguvu ya dhana hii kimapenzi, Kibaiolojia na hata Kiusalama[emoji419]
Ndo hivo mkuu yaani usingizi unakuwa mzito sanaUlalaji gani huo? Akipata limwanamke la hovyo hapo litamtia mijidole hadi alone, akiamka ni michubuko tu huko kunako
Hatari sana shehendo hivo mkuu yaani usingizi unakuwa mzito sana
Ufafanuzi tafadhali. Yaani upande wako wa kushoto kama umelalia mgongo (umeangalia darini), au kama umelalia tumbo?Ewe Mwanaume Mwenzangu fanya yoooote lakini hakikisha Mkeo analala Upande/Mkono wako wa kushoto au Upande ambao Moyo wako ulipo...
GENTAMYCINEMwanaume gani mpumbavu huyo anayelala upande wa ukutani na mkewe alale ukingoni mwa kitanda.???
Utaleta kelele