NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
- Thread starter
-
- #81
shosti hii kitu nikikutana nacho hua nacheka ndani ya moyo hanalafu najiuliza kwanini hukumuanzia haya mambo zamaniiiiii lol...Hiyo ni kawaida mkuu na ni jambo zuri kwa sababu ipo natural, mahaba ya ku pretend ndio yanayochekesha maana unaona kabisaa kama ni mwanamke ana struggle kumpetipeti aonekane na hadhira, mwenyewe anadhani ndio anamlinda mwanaume asiibiwe na unaona haswa hawapo comfortable
Duuuh hatarMi ndio tabia yangu hiyo,tena nikigundua huyo msichana anajaribu kujiweka kwa my man ndio huwa nafanya yote mbele yake ili aelewe
Lakini nitajaribu kuacha
MamboMh nahisi harufu ya shareholder hapa
PoaMambo
Sema ww dada yake na mie,ni iman yangu wanaume wachache sana wa kiafrica huvutiwa na hizo tabiya. Kuku wa kwako manati ya nini? emmytaIts okay kama ndio routine yako na wala huyo mwanamme wako hatokua insecure mbele za watu,ila wale wanaofanya pale wanapoona wanawake wenzao sasa sielewi hua ni kutokujiamini au wasiwasi mwanamke mwenzie amamzidi hata sielewi..
Mkuu BAK, ivi kweli mtu anafanya kitu kwa mazowea na anaefanya kwakujionyesha huwezi uka jua?
kuna mengine BAK wala huitaji yote hayo..Kama huwafahamu na unawaona hadharani mara ya kwanza utajuaje kama wanafanya show off? Kama unawafahamu kwa karibu wanaweza kuwa wamekwambia kwamba sisi tukiwa wenyewe faraghani tuko hivi na hadharani tuko hivi, lakini kama huwafahamu huwezi kujua.
kuna mengine BAK wala huitaji yote hayo..
Aanzie ndani kwanza ili mwenzie nae azowee aone jambo la kawaida..Tuseme unakuwa na mtu kama huyu anapenda kuonyesha mapenzi hadharani. Je, utakuwa unamkataza?
Hahahaaaaa. Sina banaaa.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sina banaaa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]