Mwanamke Jiamini..

Seledi kama hizi, unaagiza ya pili, unaendelea kusoma tu, afu wewe unakausha
 
Mi sinaga hizo mbwembwe sijui ndo ushamba au ni jinsi tu nilivyo!! Vi touch touch vinaishiaga ndani na yy hajazoea vya barabarani.
 
Hiyo inaitwa abiria chunga mzigo wako
 
i wish I could be "shemeji" on that day.
 
Woiiiiiii
Mimi namshika mbele za watu wote
I do not care what people think
 
Yawezekana anajua bwana wake muonjaji mzuri wa mboga tofauti tofauti so anaiga simba kukojolea eneo la milki yake ili simba wengine wasijishaue kuingia ktk himaya yake
 
Nitajaribu kuacha lakini
Usiache love, ni vizuri ikiwa ndio mazowea sio wale wanao pretend,ni vizuri ukiwa umemzowesha inakua sio tatizo
kumdekeza mpenzi wako ni sawa ikiwa ndio tabia yako sio mpaka uone watu..
 
Ni ngumu kujua kama ni kawaida yao au kwa vile wako mbele za watu. Wapenzi wengine wako hivyo kwenye penzi lao.
Mkuu BAK, ivi kweli mtu anafanya kitu kwa mazowea na anaefanya kwakujionyesha huwezi uka jua?
 
Reactions: BAK
mkuu mie binafsi i kiss my huuby ila sio ile deep,mfano anakwenda kazini,amerudi home,tumekutana mjini au popote ni kawaida yetu,sasa kuna ile yakuona watu wewe ukaanza ku kisss au mara umemshika hapa mpaka yule bwana unamuona kama hana amani tena,wakati unapokua nae walaaaaaaaaaaaa huna shughuli nae kama tissue ..
 
Hiyo inaitwa abiria chunga mzigo wako
Mwalimu wake kamfundisha vibaya sanaaa,au kama ndio mawazo yake ataibiwa kila siku,anatakiwa afanye kitu ambacho anajua sio rahisi kukipata kwengine na ajitume kwenye mambo ya msingi...
 
Hiyo ni kawaida mkuu na ni jambo zuri kwa sababu ipo natural, mahaba ya ku pretend ndio yanayochekesha maana unaona kabisaa kama ni mwanamke ana struggle kumpetipeti aonekane na hadhira, mwenyewe anadhani ndio anamlinda mwanaume asiibiwe na unaona haswa hawapo comfortable
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…