Mwanamke Jiamini..

Mie sioni tatizo kwenye hili. Watu wawe huru na penzi lao kama ni kushikana viuno, kupeana busu etc.
BAK,sijasema wasiwe huru,ila wacha iwe ni kawaida yako sio ufanye pale unapoona watu,ndio mara kiss mara una mkuna sikio mpaka unaona yule mwanamme hana amani,lakini kama mazowea walaaaaaaaaaaa,tena hua napenda ila iwe real..
 
Ni ngumu kujua kama ni kawaida yao au kwa vile wako mbele za watu. Wapenzi wengine wako hivyo kwenye penzi lao.

Hahahaaa. Huwezi amini hata sikurushika roho ila kwa upande wangu sa sijui mie mshamba sikuona kama ni sehemu sahihi.

Ila ndio hivyo tunatofautiana namna tulivyolelewa.
Kiuhalisia hao wapenzi mmoja wao au wote wawili hawajiamini na wanajirusha roho wenyewe! Wee mwanaume humjui na hamjuani vipi wahisi kua unataka kumvutia? NNi uswahili flani hivi
 
Haha

Kama Nakuona vilee
 
Kukiss na kukumbatiana mbele za watu inagemea malezi na tamaduni lakini kwa mila zetu za kiafrika ni jambo lisilo la kawaida na wengine wanaofanya hivo ama wana pretend kwa maslahi fulani(kama hivo show off na sio natural) au malezi yao yalikua ya aina hiyo. Unajiuliza mbele ya wazazi wao wanaweza kufanya hivo? Maana wenye tamaduni yao wanafanya deep kissing popote na kwa yoyote
 
Kwanza hongera kwa uvumilivu huo ulioonyesha,sipati picha yani
 
Ni ngumu kujua kama ni kawaida yao au kwa vile wako mbele za watu. Wapenzi wengine wako hivyo kwenye penzi lao.
U r right,

Ujue kuna ile ukiwa na umpendae kuna madeko deko flani hivi vinakuja tu automatically, unajikuta umemuegemea, umemuwekea mkono/mguu sehem flan flan n.k if you know what am saying
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…