NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
- Thread starter
-
- #21
Hapo ni sawa na kama mwanamme yuko sawa na hiyo kuna wale ambao waume zao unawaona hawako sawa kabisaaaa..Hahaa. Umenikumbusha mbali mie majuzi nilisafiri basi nilipokaa pembeni yangu kuna mdada na bwana ake basi amemlalia mpaka wanashuka.
Seemz like umeumia or hujapendaWapi nimesema imeniuma mkuu?
Mkome kututolea macho waume wa wenzio..!Hahaa. Umenikumbusha mbali mie majuzi nilisafiri basi nilipokaa pembeni yangu kuna mdada na bwana ake basi amemlalia mpaka wanashuka.
Pole sana kwa kuniwazia kinyumeSeemz like umeumia or hujapenda
Sema una uvumilivu asee,mi nisingeweza kumuona anafanya yote alafu mi nimekaa tu naangaliaHata usiache mwenzangu,wengine wanajitia ooh sikujua kama ana mtu. Watajuaje kama anae.
Ila tu sio kila sehemu,inategemea na mazingira.
Mfano there is a day tulienda
Kwenye harusi ya watu wa kwao huko,akakutana na rafiki zake wa utotoni. Kadada kamoja buana, nikaona wanakutana,kam hug then kamkiss mashavuni akawa anamtambulisha kwa wale aliokuja nao,the man akawa ametulia tu.That girl alikuwa anamu hug my man kuvuka mipaka,na makiss kiss yaliyo pitiliza nikataka ninyanyuke nimfate but my patience was on line.
Baada ya muda naona hao,wakati wanakuja bidada kamshika mkono,wamefika pale akamuegemea begani mkono kamshika siju pale ni kifuani au tumboni, analeta uzungu nivutie kiti basi nikae karibu na wewe,akavutiwa kiti still ana muegemea begani hata alipo kaaakaambiwa meet my girl maserati,aisee kama alipigwa na shot kutoa kichwa pale kwenye bega akawa ananishangaa hata alivo nisalimia like hana nguvu,aisee mbwembwe za kurekebisha kora yake na kumuweka shati sawa mara nimshike bega zilitake place kwa upande wangu,plus mwenyewe kaongezea anishike mkono wangu auminye minye adabu ilikuwepo.
Inabore but inatibu.
Cc mtoto mzuri mwenzangu emmyta.
Sema una uvumilivu asee,mi nisingeweza kumuona anafanya yote alafu mi nimekaa tu naangalia
Hiyo nafasi ya kumpata kwenye 18 zake wala hawezi kuipata...kabisaYani hapo ndo unamuongezea hasira huyo mwanamke ya kumnyakua mwanaume wako..Na siku akimtia kwenye 18 zake utajuta
Mi huwa nakua vile kwasababu ya viashiria fulani vibaya vya mwanamke mwingine juu ya mwanaume wanguIts okay kama ndio routine yako na wala huyo mwanamme wako hatokua insecure mbele za watu,ila wale wanaofanya pale wanapoona wanawake wenzao sasa sielewi hua ni kutokujiamini au wasiwasi mwanamke mwenzie amamzidi hata sielewi..
Habari za leo waungwana,
Kuna baadhi ya wanawake hua tabia zao za ajabu sana,mfano unakuta yuko na mumewe au mwanamme wake,sio kawaida yake kumshika mwanamme wake mikono wala kiss wala hug mbele za watu,ila aone mwanamke mwenzie anavyo jihashua mara kamdokoa sikio,mara kampapasa
paja yanini yote hayo nani unamuonyesha?inaonekana wazi kua huyo mume haja zowea manake
mpaka mwanamme ana wasiwasi kama ame wacha mbuzi malishoni,mwanamme hana amani kabisaa na visa vyako ebu wacha vituko eeeeh....
Ninao woteNawewe una mume au boyfriend..!?
Hahaaa.. Assume asingekutambulisha akaamua kukaa kimya.?Hata usiache mwenzangu,wengine wanajitia ooh sikujua kama ana mtu. Watajuaje kama anae.
Ila tu sio kila sehemu,inategemea na mazingira.
Mfano there is a day tulienda
Kwenye harusi ya watu wa kwao huko,akakutana na rafiki zake wa utotoni. Kadada kamoja buana, nikaona wanakutana,kam hug then kamkiss mashavuni akawa anamtambulisha kwa wale aliokuja nao,the man akawa ametulia tu.That girl alikuwa anamu hug my man kuvuka mipaka,na makiss kiss yaliyo pitiliza nikataka ninyanyuke nimfate but my patience was on line.
Baada ya muda naona hao,wakati wanakuja bidada kamshika mkono,wamefika pale akamuegemea begani mkono kamshika siju pale ni kifuani au tumboni, analeta uzungu nivutie kiti basi nikae karibu na wewe,akavutiwa kiti still ana muegemea begani hata alipo kaaakaambiwa meet my girl maserati,aisee kama alipigwa na shot kutoa kichwa pale kwenye bega akawa ananishangaa hata alivo nisalimia like hana nguvu,aisee mbwembwe za kurekebisha kora yake na kumuweka shati sawa mara nimshike bega zilitake place kwa upande wangu,plus mwenyewe kaongezea anishike mkono wangu auminye minye adabu ilikuwepo.
Inabore but inatibu.
Cc mtoto mzuri mwenzangu emmyta.
Hongera asee,nitajifunza kuwa hivyona ninao kweli.
Unadhani ninakuwaga na hizo papara mie.?? Wala hata nisingetingishika.Hahaaa.. Assume asingekutambulisha akaamua kukaa kimya.?
Bila shaka hapa jf huwez pata mume tena..! Labda muuza ngada tuuh!Ninao wote
Hmm.. Una moyo wa ajabu sana. Angekua mwanamke mwingine vumbi lishawakaUnadhani ninakuwaga na hizo papara mie.?? Wala hata nisingetingishika.
Ninao wote
Mmh. Sikurupukagi mwenyewe anajua. Yaani napenda ku observe kitu kwanzaHmm.. Una moyo wa ajabu sana. Angekua mwanamke mwingine vumbi lishawaka
Siwezi kwakweli...waume zangu wote umewachukua weweBila shaka hapa jf huwez pata mume tena..! Labda muuza ngada tuuh!
HahahaaaaEmmyta anajiamini sana