NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
Utaemkera afumbe macho tu km wako sio wa wizi ya nini kujibana bibi weee nakushauri usiacheMi ndio tabia yangu hiyo,tena nikigundua huyo msichana anajaribu kujiweka kwa my man ndio huwa nafanya yote mbele yake ili aelewe
Lakini nitajaribu kuacha
Joanah Mambo vipi????Mi ndio tabia yangu hiyo,tena nikigundua huyo msichana anajaribu kujiweka kwa my man ndio huwa nafanya yote mbele yake ili aelewe
Lakini nitajaribu kuacha
Hahahahhhahhh umeona e...Utaemkera afumbe macho tu km wako sio wa wizi ya nini kujibana bibi weee nakushauri usiache
Asante mkuuJoanah Mambo vipi????
Pole kwa yaliokukuta jana humu JF.
Hata usiache mwenzangu,wengine wanajitia ooh sikujua kama ana mtu. Watajuaje kama anae.Mi ndio tabia yangu hiyo,tena nikigundua huyo msichana anajaribu kujiweka kwa my man ndio huwa nafanya yote mbele yake ili aelewe
Lakini nitajaribu kuacha
Hahaa. Umenikumbusha mbali mie majuzi nilisafiri basi nilipokaa nyuma yangu kuna mdada na bwana ake basi amemlalia mpaka wanashuka.
Kimoyoni nikajisemea hajiamini ndio sababu anahangaika kwa sababu alipata shida tena sio ndogo.
Kwa hyo alivyomlalia we imekuuma? Waache watu na mapenzi yao bhanaHahaa. Umenikumbusha mbali mie majuzi nilisafiri basi nilipokaa pembeni yangu kuna mdada na bwana ake basi amemlalia mpaka wanashuka.
Si wanapendana jamaniHahaa. Umenikumbusha mbali mie majuzi nilisafiri basi nilipokaa pembeni yangu kuna mdada na bwana ake basi amemlalia mpaka wanashuka.
Kula likeHata usiache mwenzangu,wengine wanajitia ooh sikujua kama ana mtu. Watajuaje kama anae.
Ila tu sio kila sehemu,inategemea na mazingira.
Mfano there is a day tulienda
Kwenye harusi ya watu wa kwao huko,akakutana na rafiki zake wa utotoni. Kadada kamoja buana, nikaona wanakutana,kam hug then kamkiss mashavuni akawa anamtambulisha kwa wale aliokuja nao,the man akawa ametulia tu.That girl alikuwa anamu hug my man kuvuka mipaka,na makiss kiss yaliyo pitiliza nikataka ninyanyuke nimfate but my patience was on line.
Baada ya muda naona hao,wakati wanakuja bidada kamshika mkono,wamefika pale akamuegemea begani mkono kamshika siju pale ni kifuani au tumboni, analeta uzungu nivutie kiti basi nikae karibu na wewe,akavutiwa kiti still ana muegemea begani hata alipo kaakwenye bega akaambiwa meet my girl maserati,aisee kama alipigwa na shot kutoa kichwa pale kwenye bega akawa ananishangaa hata alivo nisalimia like hana nguvu,aisee mbwembwe za kurekebisha kora yake na kumuweka shati sawa mara nimshike bega zilitake place kwa upande wangu,plus mwenyewe kaongezea anishike mkono wangu auminye minye adabu ilikuwepo.
Inabore but inatibu.
Cc mtoto mzuri mwenzangu emmyta.
Yes yesHahahahhhahhh umeona e...
Yani hapo ndo unamuongezea hasira huyo mwanamke ya kumnyakua mwanaume wako..Na siku akimtia kwenye 18 zake utajutaMi ndio tabia yangu hiyo,tena nikigundua huyo msichana anajaribu kujiweka kwa my man ndio huwa nafanya yote mbele yake ili aelewe
Lakini nitajaribu kuacha
Its okay kama ndio routine yako na wala huyo mwanamme wako hatokua insecure mbele za watu,ila wale wanaofanya pale wanapoona wanawake wenzao sasa sielewi hua ni kutokujiamini au wasiwasi mwanamke mwenzie amamzidi hata sielewi..Mi ndio tabia yangu hiyo,tena nikigundua huyo msichana anajaribu kujiweka kwa my man ndio huwa nafanya yote mbele yake ili aelewe
Lakini nitajaribu kuacha
Nawewe una mume au boyfriend..!?Mi ndio tabia yangu hiyo,tena nikigundua huyo msichana anajaribu kujiweka kwa my man ndio huwa nafanya yote mbele yake ili aelewe
Lakini nitajaribu kuacha
Wapi nimesema imeniuma mkuu?Kwa hyo alivyomlalia we imekuuma? Waache watu na mapenzi yao bhana