cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,634
Ni yule ambaye afii kimya kimya kwa kuumia na penzi ambalo analo kwa mwanaume anaye mpenda. Mwanamke jasiri ni yule anayejua nini anakitaka, anachukuwa nafasi na ku hit her target.
Dada zangu dunia imebadilika sana na hasa katika mahusiano. Kama unafikiria unampenda mtu fulani kisha unabaki kimya tu, wanawake majasiri wapo wamekuzunguka na uamua kujaribu.
Wanawake walio wise nawependa sana ila wanawake otherwise amsheni akili akili zenu. Kusubiri kutongozwa na mtu ambaye unampenda imepitwa na wakati
Msiishie kwenye kutozwa tu. Bali wajasiri kwenye masuala mengine ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni . mtilie maani kwamba mnaweza bila kuwezeshwa. Amen