shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,440
- 3,606
habarin wadau!
kuna ndoa ina ugomvi hapa mtaani kwetu kila ikitokea mwanamke na mwanaume wamegombana mwanamke anamwambia mwanaume "ndo maana una lea mtoto wa mwanaume mwenzio" hawa wanandoa wana mtoto mmoja inayedaiwa si wa huyu mwanaume sasa jana baada ya ugomvi katamka tena kauli hiyo hiyo mwanaume kawatimua wote mtoto na mwanamke.
basi ikabidi majirani kuingilia baada ya mambo kuwa magumu, kumuuliza mwanake baba wa huyo mtoto ni nani anaomba samahani anadai eti ni hasira tu huwa anatamka hivyo.
hivi ni halali mwanamke kutamka kauli kama hiyo kwa ksingizio cha hasira.
je hatua ya huyu mwanaume kuwatimua wote ni sahihi mtoto ana miaka 2 wa kiume.