Mwanamke huyu ana matatizo gani?

Mwanamke huyu ana matatizo gani?

babjohn

Senior Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
112
Reaction score
16
Sikupenda nije nitoe siri zake hapa ndani lakini sina jinsi nimechoka. Nina mpenzi wangu tuna mwaka mmoja nae tatizo ni kuwa tukifanya mapenzi hataki kuvua nguo zote na wala hataki niuone uchi wake.

Na pia hapendi nimfanyie ma#romance wala nimchezee sana, nilimwambia akasema kuwa yeye ana aibu siku moja nilimvulia nguo zote ikawa ugomvi mkubwa,

Hivi wanajamvi ni kweli aibu au kuna tatizo gani kumbuka tuna zaidi ya mwaka mmoja katia mahusiano.
 
hapo sasa hivi kavua zote??

weka simu pemben jaribu kumvua zilizobaki huku hatuna namna maana wewe ndo upo nae hapo

ila mkuu huyo atakua anapenda yale mapenzi ya quick,yaani kuviziana na haraka haraka
na ni matamu sana
 
Usiwe na papara wakat wa tendo...muandae vzr kisha tafuta mwanga hafifu kidgo
 
Sikupenda nije nitoe siri zake hapa ndan lakini sina jinsi nimechoka
Nina mpenz wangu tuna mwaka mmoja nae tatizo ni kuwa tukifanya mapenzi hatak kuvua nguo zote na wala hataki niuone uchi wake na pia hapendi nimfanyie ma#romance wala nimchezee sana
Nilimwambia akasema kuwa ye ana aibu
Siku 1 nilimvulia nguo zote ikawa ugomvi mkubwa
Iv wanajamvi ni kwel aibu au kuna tatizo gn
Kumbuka tuna zaid ya mwaka 1 ktk mahusiano

we kwanini unachungulia uchi wake??? hata mie sipendi kuchuguliwa

alafu kwanini unataka kumchezea sana ayo maromansi

angalizo
unayosoma hapa JF usifikili wote wanayafanya na usifikili wote wanayapenda
pia unayoona kwa mapicha ya x usifili wote wanayapenda
 
Aseeee....leo nilikuwa sipendi kabisa nishangae...duh!Imebidi nishangae tu mkuu.:what::what:
 
hapo sasa hivi kavua zote??

weka simu pemben jaribu kumvua zilizobaki huku hatuna namna maana wewe ndo upo nae hapo

ila mkuu huyo atakua anapenda yale mapenzi ya quick,yaani kuviziana na haraka haraka
na ni matamu sana

Kama kuku?
 
Mbona shida ipo? Kwani mapenzi ni romansi au kufikishana kilele. Tena mwanamke ka huyu ndo anafaa kwa kidume chenye uwezo, vidume vya kuanzia mechi 5 kuendelea mpaka 12 mtu aombe kuakirisha.Mchukulie taratibu, mvumilie, majasho mbona yatamtoa nguo? Kichwani weka kumfurahisha mwenzako kwanza, uweke manjonjo kibao hata unapomtoa nguo zake akubaali kuwa kwa joto hii yafaa niwe uchi.

Taratiiibu utajikuta mwaoga pamoja.Kaushauri; Kuna wengine hata kuugusa mtarimbo anaona aibu, wengine hata kunyonya maziwa hataki, vitu vidogo vidogo tunawafunza na mwisho wakielewa ndo wanakufundisha tena vya kwao usovijua. Weye yaonesha ulijifunzia kwenye picha za x. Kutemeana mimate weye ukaona fahariii, je wale wabuia ugoro mbona walituzaa wengine. Romance waliijulia wapi?
 
hapo sasa hivi kavua zote??

weka simu pemben jaribu kumvua zilizobaki huku hatuna namna maana wewe ndo upo nae hapo

ila mkuu huyo atakua anapenda yale mapenzi ya quick,yaani kuviziana na haraka haraka
na ni matamu sana

Mchinjakobe tuning.
 
Dah!hii sijawahi sikia,mwaka mmoja mapenzini bado havui nguo:what::what:kuna tatizo hapo si bure.
 
Back
Top Bottom