Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,981
HAPA NAPIGA na kama kawaida kimoja namwaga chini kuwashukuru wandewaMarilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa aliyokuwa nayo hakuacha alama yeyote duniani kwa kupitia maarifa yake.
View attachment 3393289Na hii ni moja ya mifano tosha kwamba unaweza kuwa na maarifa makubwa sana ,Na ukashindwa kuyatumia hadi muda unaondoka duniani Naaam
Kuwa IQ kubwa si kigezo, ni jinsi gani unaitumia hiyo IQ kufanya mambo makubwaMarilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa aliyokuwa nayo hakuacha alama yeyote duniani kwa kupitia maarifa yake.
View attachment 3393289Na hii ni moja ya mifano tosha kwamba unaweza kuwa na maarifa makubwa sana ,Na ukashindwa kuyatumia hadi muda unaondoka duniani Naaam
Alikuwa anafaa kwa matumizi ya kibinaadamu, kubaolojiana.. kulumagia kote huko anafaa.Alikua chombo haswaaa, mzuri sana......
daah hlf hawa ndo vijana anaowapambania lisu🙆♂️Alikuwa anafaa kwa matumizi ya kibinaadamu, kubaolojiana.. kulumagia kote huko anafaa.
Marilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa aliyokuwa nayo hakuacha alama yeyote duniani kwa kupitia maarifa yake.
View attachment 3393289Na hii ni moja ya mifano tosha kwamba unaweza kuwa na maarifa makubwa sana ,Na ukashindwa kuyatumia hadi muda unaondoka duniani Naaam
Kumchanganya feder castor na John Kennedy ni lazima uwe na iq kubwaMarilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa aliyokuwa nayo hakuacha alama yeyote duniani kwa kupitia maarifa yake.
View attachment 3393289Na hii ni moja ya mifano tosha kwamba unaweza kuwa na maarifa makubwa sana ,Na ukashindwa kuyatumia hadi muda unaondoka duniani Naaam
Utajuaje mtu ana IQ kubwa kama kajawahi kufanya chochote chenye upekee?
Google, acha uvivu!Alifanya nin tujuzeni
Alama yake ni kutokuacha alama na kugawa mbususu yake.Marilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa aliyokuwa nayo hakuacha alama yeyote duniani kwa kupitia maarifa yake.
View attachment 3393289Na hii ni moja ya mifano tosha kwamba unaweza kuwa na maarifa makubwa sana ,Na ukashindwa kuyatumia hadi muda unaondoka duniani Naaam
Huyo aliacha alama ya umalaya alikua anagongwa na ndugu wawili wa familia moja yaan rais na kaka yake wote walikua wanamgonga huku anaiba Siri za IkuluInashangaza sana
Soma hapo juuMara nyingi watu wenye IQ kubwa wasipoitumia huwa wanachanganyikiwa... Hebu tupe historia yake tuone aliishiaje
Umesema hakuacha alama. Je, aliishi maisha ya aina gani?Soma hapo juu
Huyo demu ni moja ya crushes. Nishakula mademu wengi sana kumuwaza yeyeWa Marilyn Monroe specifically. Kama uhujui, potezea.