do wat u think
JF-Expert Member
- Feb 18, 2017
- 319
- 251
Na kwa hicho nilichokiwelewa sirudii tena kutongoza taratibu[emoji34]Kama ni hivo basi nishaelewa kwa jinsi ulivo jibu tu inatosha kabisa.
Kilichokuwa kinaendelea nishakijua hapo!
Next time tambua mipaka yako....[emoji31][emoji31][emoji31][emoji3][emoji3][emoji3][emoji31]
Tunawashauri wadogo zetu.Comment nzuri sana hii.
Jamaa kapenda haswaaaaa.....Wala .... Pesa mbuzi hizi laki 2, milioni 1 sio tatizo kwa Mwanamke. Jamaa Hasikii wala haoni. Tumekula pilau mwaka Jana. Wanakula Raha kama familia.
Huo muda mnatoa wapi? Tafuteni pesa mfanye maisha vijana.
Upo sahihi Kabisa. Kuna bestie wangu.... Mume aliyemuoa mwaka 2019 alianza kumtongoza mwaka 2010 na amekuja kumkubalia mwaka 2018. Kuna watu hawataelewa nilichoandika hapaππ€£π
Mtazipata kwa kuzitafuta.Hizi kauli za taften Pesa uwa zinanifikilisha sana nawaza hizi Pesa mnazotupa ushauri tafteni Pesa tutazipataje?
Wewe ongea yooooote ila jua kuwa bado kuna wanaume WACHACHE wanaojua KUPENDA.πππLoooh... Wewe Msweet We una dhambi sana wewe! π
Eti wanakula raha kama familia.. wakati unajua fika kabisa hapo anaekula raha ni huyo besti yako baada ya kukitembeza kwa wanaume kama wote hapo mjini na kuona hakuna hata mwenye mpango wa kuoa ndio mkashauriana mumuangushie jumba bovu kijana wa watu..!! Wanawake wabaya nyinyi..!!
Hapo mkikutana mnacheeeeka na kugongesha mikono baada ya mpango wenu wa kifedhuli kufanikiwa..π Na najua wewe ulishiriki kwa kiasi kikubwa kwenye kumshauri huyo beste ako.
Hakuna mwanamke anaekupenda anaeweza kukuzungusha miaka 8. Yaani mimi namuonea huruma sana huyo kijana kwakweli, maana anaonekana ni kijana mpole na mstaarabu hakustahili kabisa janga hilo. Unless umshauri huyo besti ako atulie kwenye ndoa maana kama ni kuhangaika ameshahangaika cha kutosha.
Mimi na wewe tunajua kabisa kinachoendelea hapo, na ukweli wa hili jambo. We labda sema ili kuepusha mjadala mrefu kwenye uzi wa wenyewe tuamue tu kuishia hapa.πWewe ongea yooooote ila jua kuwa bado kuna wanaume WACHACHE wanaojua KUPENDA.πππ
Chill bossNext time tambua mipaka yako....
usilete stress zako kwa usiowajua bwam...
Umekata mzizi wa fitinaNavyojua wanawake wanaweka sheria na vikwazo kwa watu wasiowapenda au kuwaelewa kivile na kuvunja izo sheria na vikwazo kwa watu wanaowaelewa ie ooh Mimi hauwezi kunitongoza wiki hii alafu wiki ijayo ule mzigo, inabidi twende taratibu, ni mawili either hajakuelewa kivile au skills zako za kutongoza ni weak. Naamini kabisa mwanamke akikutana na mwanaume mwenye sofa zote anazohitaji haleti longo longo hata kidogo, ndio kwanza anakuwa mstari Wa mbele kuseal the deal.
Haya mambo hayanaga formula.
Hawa wapuuzi wa kuangaikia manzi miaka wanaharibu wadada kama uyuDuuh 8 good years si mchezo, watu wavumilivu sana, wengine wanataka katongoza leo kesho mshamaliza kila kitu [emoji3][emoji3], huyo jamaa ni wa kuigwa
Mmh, kaharibikaje sasa mkuu?, wameshaoana haoHawa wapuuzi wa kuangaikia manzi miaka wanaharibu wadada kama uyu
Kesha haribika
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ, huo mstari wa mwisho hadi Chris mwenyewe kachekaPick your struggle elsewhere...
stress zitakuuwa....
inawezekana umeshinda njaa...