Mwanamke huna mvuto, maringo ya nini ukitongozwa?

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,663
Habari wakuu

Mnajua kuna wanawake wanashangaza na kustaajabisha sana asee

Yaani unakuta mwanamke hana mvuto wowote na pia hana hata wanaomtongoza kwa sababu ya mapungufu yake lakini amejaa maringo ukimsemesha na kumtongoza

Wanaume tunahuruma sana, mademu wabovu tunawatongoza kuwapa kampani tu na kuwaondolea ile hali ya kijiona si kitu kwa sababu tu hawana mvuto na hawatongozwi, unataka kuwasaidia unaishia kuchezea maneno ya shombo as if unaitaka ya wema sepetu aseeeee

Unakuta mwanamke Titi ni kubwa balaa limelala, hips hana, sura ya baba yake, umri umegonga 30
Mwanaume Kajitoa muhanga kukutongoza bado unaleta
nyodo Dada angu unaitaji maombi Aise
 
Ukimtongoza akakukataa kubali kuwa kakataa, sio sababu hajakuvutia basi ndo akukubali sababu umemuonea huruma!!

Wakati unamtongoza sidhani kama ulimwambia unampa kampani sababu ya sura ya babake!!

Lakini, heshimu maamuzi ya mtu, usikejeli uumbaji wa Mungu. Kufanana na baba zetu isiwe tabu!
 
Siyo kila anayetongozwa kapendwa, sometimes nyege tu..
 
Ungekubaliwaa napo ungekuja na uzii hapa kuwa mademu niwepesi maharage ya mbeyaa Kama kakukataa ujuee na wewe hujawa na viwango anavyovitaka hujamvutia huendaa nayeye anawaambia mashost zakee kunaa mwanaume kanitongozaa mbayaaa huyoooo
 
Ukimtongoza akakukataa kubali kuwa kakataa, sio sababu hajakuvutia basi ndo akukubali sababu umemuonea huruma!!

Wakati unamtongoza sidhani kama ulimwambia unampa kampani sababu ya sura ya babake!!

Lakini, heshimu maamuzi ya mtu, usikejeli uumbaji wa Mungu. Kufanana na baba zetu isiwe tabu!
Tumekuelewa blaza....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom