Mwanamke Hatari!! Ukimgonga tu! lazima uugue..

Akitoka kwa huyo fundi wenu mtesti usipougua basi kapona. all thw best. usisahau kutuupudeti
 
Kamfanyie maombi mkuu, au mlete kwangu nimuombee ataolewa siku hiyohiyo!
 
kuna mama mmoja aliwahi kuniambia kuna watu ukitembea nao unapata mikosi!
 
mkuu wa aina hiyo hupaswi kumgonga,inatakiwa unadonyoa kidogo kidogo donyo!!! donyo!!donyo!!!
 

Nikadhani umemgonga wewe..
 
Ndo hivyo,me nilitaka kupiga risasi mnyama mmoja wa kike kabisa.

Ahahahaha mkuu umenichekesha karibia katika kila uzi unaandika hivi, inaonekana unahasira na wale wadudu
 
Ahahahaha mkuu umenichekesha karibia katika kila uzi unaandika hivi, inaonekana unahasira na wale wadudu
Kaka acha tu,mbona nina story sana,dunia hii tuko shule kaka!demu lenyewe basi lina fungus unalivumilia halafu linakutenda,yaani kaka utaona vi piece piece vya story tu ila utavielewa tu.
 
Hiyo mbona rahisi? Anapoteza muda wake kwa waganga bure
 
Kuna jamaa alihamishiwa kikaz rukwa akamuacha mkewe Tanga...
Kufika huko kila alipotaka kukabanjua kale ka amri jogoo hawiki...mbona alimsafirisha mkewe akahamia rukwa...kwa mkewe mambo fresh jogoo anawika kama kawaida...
Kumbe mkewe ndiye aliyefanya makeke teh teh....
 
huyo fundi anamuongezea tatizo tu aje kwa bwana yesu yote yataisha
 
Ndo hivyo,Ndo maana wengine wanaokoka!me nilitaka kupiga risasi mnyama mmoja wa kike kabisa.
Kaka hawa viumbe usipojizuia,unaweza kufanya jambo mpaka watu wakakushangaa.
 
Akitoka kwa huyo fundi wenu mtesti usipougua basi kapona. all thw best. usisahau kutuupudeti

ha ha ha ha! mi niugue? si kila nyama inaliwa Sista
 
Last edited by a moderator:
Kamfanyie maombi mkuu, au mlete kwangu nimuombee ataolewa siku hiyohiyo!
Yaani umenikumbusha matangazo ya waganga wa kienyeji.... Eti kumrudisha mpe, wakati yeye mwenyewe kakimbiwa ana mwaka wa saba sasa....
 

Still stuck in the past! Unaamini uchawi karne hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…