Mwanamke hasomeshwi

Afanye kama alitoa msaada

Ataishi Kwa amani sana. Ukifuatilia Kwa makini ni kama alikua anajikakamua sana kum impress Binti.

Pia anakiri aliongezea ada pale ilipopungua, sio jambo dogo lakini unapotaka hadharani umesomesha hakikisha ni kitu tangible.

Hata hivyo hii ni habari ya upande mmoja, bila kusikia upande wa pili maamuzi au ushauri utakua batili.
 
Amuache tu asije kuoa kisha akaua
 
Nilitaka kukushauri lakini nilipokumbuka tu Kigoma ndio anatoka Baba levo na Mwijaku nimepata uvivu
 
Huyo anaweza baadae akakuponza mkaishia kutiana Shaba Saba! Ile TU umeleta swali lako hapa la umuache ama umuoe ni kwamba Bado unamtaka!
Huyo ni kumchapa laps TU! Kaza Moyo, utapata anayekustahili!
 
Acha upimbi kua mwanaume na ujitambue,mtoto sio wako huyo mwanamke hakupendi....usilazimishe ndoa kwa mtu ambae hakupendi
Jamaa rohoo inauma maana amepewa mke bureee bila mahari
Sasa hiyo bure inamuumiza kichwa sana
 
Achana naye huyo hakufai,ukijifanya kichwa ngumu,yatakupata kama ya Said wa Mwanza.
 
Amina chief atengue kauli yake [emoji3]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kichwa cha Mada nikafikiri tunaonywa tusiwasomeshe wanawake, cha ajabu mwisho wa Mada jamaa anaomba ushauri aoe au asioe!

Maajabu haya
 
Kwann ahangaike na nyanya moja iloyooza hali mamilioni ya nyanya yapo sokoni.
Atafute mwingine amsomeshe.
Ukiweka tumaini lako kwa mwanadamu ni lazima akuumize
 
Mimi sipendi uongo wala konakona. Huyu si wa kuoa bali wa kumalizia hamu ya kimwili. Tutafute hela jamani. Mapenzi tuwaachie njiwa.
 
Tatizo ushamba, na ubaya wa mshamba hata ukimshauri ujanja atakuona fala tu na kufuata akili yake, inamaana hadi hapo ni suala la kuomba ushauri tena kweli!!!??
 
Badili jina jiite ZEZETA BWEGE
 
Fanya mambo kiutu uzima au wewe bado ni Adolescence.Huyo Mzee anataka akupambanishe na mzinga wa nyuki.Haya mambo ndo yalimkuta bro wangu mdogo na hadi sasa hana hamu ya kuoa na umri wa 40+
 

Achana nae chapa mwendo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…