Mwanamke hasomeshwi, utajuta

Mwanamke hasomeshwi, utajuta

Joined
Nov 6, 2016
Posts
92
Reaction score
280
MWANAMKE ALIYEPO KWENYE CHANGAMOTO HANA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI MAZURI YA UHUSIANO

Na Comrade Ally Maftah

Wanaume wengi tunaingia katika changamoto ya kuwasaidia wanawake kupata mafanikio wayatamanio na baada ya wao kufika kwenye mafanikio haya wanatutema.

Baada ya utafiti wangu wa kina nimegundua kwamba kuna kundi la wanaume wenzangu tumedumbukia kwenye janga la hiyo na hii ni kwa sababu -:

1. Mwanamke akiwa katika changamoto ya mkwamo wa kiuchumi au kukosa ada ya shule ana uwezo wa kufanya lolote ajinasue, atakuwa tayari kufuata maelekezo yako mpaka atakapofanikiwa.

2. Mwanamke akishafanikiwa anatafuta uhuru wa kimahusiano yaani ampate mtu ambaye ni kweli anampa burudisho la nafsi yake.

KIPI ANAKIFANYA AKISHAFANIKIWA
1. Kukudharau na kukuona upo chini ya viwango vyake kimaisha na kielimu.

2. Kutafuta kasoro zote zilizopita huko nyuma na kuziwasilisha upya na hasa kasoro zinazohusu uwezo wa kumudu tendo la ndoa, ili akuondoe kabisa mchezoni asipate mtu wa kumkanya.

NINI MWANAUME UKIFANYE
1. Msaidie mwanamke kwa kiwango chako ambacho hakitakutoa katika uchumi wako, ukiona majukumu yanakuzidi jichomote katika mtego huo mapema

2. Ikitokea mwanamke umemfikisha sehemu na kakukataa "KAUSHA" hakuna mtu humu duniani atakaa upande wako katika kesi ya hivyo, sana sana kuna mwanaume mmoja yeye na kundi lake litaungana na huyo mwanamke na ndugu wa mwanake kumtafutia uhuru.

KITABU CHA SIASA KAZI MAARIFA KITAZUNGUMZIA HAYO

Ndimi
Comrade Ally Maftah
MSHAURI WA NDOA
IMG-20240210-WA0020.jpg
 
MSHAURI WA NDOAView attachment 2899272
Kama mleta mada ndo mwenye picha hii huna marinda!
 
Comrade umeshauri na kutoa ujumbe mzito sana kuhusu mahusiano uchumba na ndoa.
Big up sana umeeleweka vizur sana 💪

ila huo muonekano unatia kinyaa, unadhoofisha ujumbe huo mzito na kuhamisha mjadala 🐒

achana nao piga Kaz tu...
 
Kableach hadi ndevu dadeq!!!
Cover of the book not match content .
Abadili kwanza muonekano ili wanandoa wawe na imani nae, ila kwa muonekano huo hata yeye akioa ndoa inamshinda asubuhi tu
 
Back
Top Bottom