Mwanamke hapigwi

Kupiga mke ni udhaifu mkubwa. Hata kama mmegombana vipi, tumia akili badala ya kuendeshwa na mihemko.
 
Wanaume wenye mitazamo kama hii huwa ni mazoba... unakuta home yupoyupo tu.

Mume wangu nioshee hiyo sufuria, anaosha. Kaniletee chumvi analeta, fua chupi yangu anafua...kisa mwanamke. Ujinga mtupu
 
Wanawake wa miaka gani wasipigwe?Dr nadhani unajidanganya kufananisha wanawake hawa wa leo na mama zetu!

Hawa wa leo bila ngumi mbili-tatu mambo ndani hayaendi

Wa leo ni wale waliozaliwa miaka ipi?
 
Sasa si uachike kuliko huo mzigo ulio nao wa kuigiza maisha...
 
Wa leo ni wale waliozaliwa miaka ipi?
Dot com ladies usipo mpiga unakaribisha matatizo makubwa ndani!Mpe mtama mmoja maridadi watoto wasipokuwepo home,believe me inasaidia sana kutuliza ndoa

1990's ladies ukileta mambo yako ya civilization kama MKE hapigwi atakushinda
 
Wanaume wenye mitazamo kama hii huwa ni mazoba... unakuta home yupoyupo tu.

Mume wangu nioshee hiyo sufuria, anaosha. Kaniletee chumvi analeta, fua chupi yangu anafua...kisa mwanamke. Ujinga mtupu
...wengine humu wanaplay smart waonekane magentlemen!..wana mingo zao!
 
Uko sahihi, mwanaume kumpiga mkeo ni kuishiwa maarifa, zipo fimbo nyingi sahihi za kumpiga mwanamke, tumia akili na hekima kumwelimisha kile usicho kipenda, sometime mchape sana kwa ile fimbo ya kiutu uzima. Usitumie rungu yy si nyoka alaaa!
 
Ukileta upuuzi usiokubalika unakula mkong'oto heavy tu, na nikiomba game utamwenua kwa roho nyeuuuupeeee, coz unapata kitu roho inatakasika.

Sasa wewe endelea kukremu kwamba mwanamke hapigwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…