Mwanamke hapigwi

Kwanini hukuamua kumwacha your Man kwasababu hiyo ya kukupiga? Kwanini unaishi na mtu ili tu siku zipite?
 
siwezi kumwua ila namchuna mpaka mwisho yaani nshasema simsaidii chochote hata aumwe atauguzwa na ndugu zake mie aka nipo kwa ajili ya raha tu shida zake hazinihusu.
Wewe ni mchaga wa wapi? Be honest.
 
Mods huyu jamaa anayejiita Mwasita Moja anakera sana na comments zake za siasa katika jukwaa la MMU,sio siri anatuharibia mtiririko na attention ktk kusoma comments mbalimbali. Kwakuwa ni jipu tunaomba mlipasue. SHUKRAN.
 
Wewe ni mchaga wa wapi? Be honest.
whaaat???? eti ni mchaga wa wapi?? wewe unamsema mwingine anaboa kwa comments zake za kisiasa halafu wewe hujioni kwa comments kama hizi? huyo mwasita anaboa kweli ila naona anayestahili zaidi ban ni wewe.
 
whaaat????? wewe unamsema mwingine anaboa kwa comments zake za kisiasa halafu wewe hujioni kwa comments kama hizi? huyo mwasita anaboa kweli ila naona anayestahili zaidi ban ni wewe.
Hapana mkuu,wala sikuwa na lengo la ukabila (I think that's what u hv in ua mind) Ila huyo dada katudis sana wanaume...iangalie comment yake.
 
Hakina jambo rahisi kama kumfanya mwanamke akuheshimu.....ukishajua wajibu wako kama mwanamume kwenye mahusiano yenu na kuyatekeleza majukumu yako bila ya shuruti kama mwanaume.....huku ukichukua maamuzi stahiki kwa kosa stahiki....
 
Kichwa kikishindwa kufikiri sehemu za siri ndio zinazoumia
 

Ee bwana mwanamke mwingine anaanza kumpiga mume sasa Hapo inakuwaje,
 
Mimi nilikuwa napigana na mchumba balaa.....akinipiga narudisha akinipiga tena narudisha hadi aniumize ndio natulia...
 
Ukimwoa binti wa kikurya yaani ikipita mwezi hujamweka hata ngeu kadhaa basi atakuomba talaka aondoke zake.
 
Je ikitokea mwanamke ndiyo anamumiza mwanaume? Kifanyike nini?
 
Kwanini hukuamua kumwacha your Man kwasababu hiyo ya kukupiga? Kwanini unaishi na mtu ili tu siku zipite?
inabidi apate maumivu niliyoyapata, yaani namuua kihisia akija kushtuka amekwisha.
 
we ishi kwa kukariri tuu......!!! hawa wadudu hawaa, acha tuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…