suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
hahaha wivu at work
Ndo mapenzi yenyewe hayo lakini
hahaha wivu at work
Nisamehe baba watoto ila huyu mdoli wake me hua nampenda nikaona nimwambie tu but am.really sorry kama nimekukwaza
mazoea mabaya hayo,ndy mwanzo wa kujitongozesha!
Eh mwanaume una wivu kama nin.bas nimekoma sirudii tena
we unataka nichekelee unamwambia mwanamume unapenda mdoli wake?!!
Wadau, Kuna binti mmoja anajidai ananipenda ila kinachonishangaza ni kitandani yeye anajikalisha tu, hataki kubadli staili tofauti anadaI ATAUMIA.
Yeye anataka staili tatu tu, angali mimi napenda staili nyingi hivyo kuto enjoy mapenzi. cha kushangaza binti kaniganda na ndugu zake wameshaanza kunifahamu.
Mnanishaurije wadau niendelee nae nimuoe au nimpotezee maana simuelewi, anadai nikimuacha atajiuwa.