Mwanamke hapendi kukata kiuno halafu ananiganda

Aya basi sawa

mbona leo wewe mpole kama umekunywa kisusio?

Nina hela sana leo
10462736_715383891832641_3324133686991797676_n.jpg
 
wadau, Kuna binti mmoja anajidai ananipenda ila kinachonishangaza ni kitandani yeye anajikalisha tu, hataki kubadli staili tofauti anadaI ATAUMIA. yeye anataka staili tatu tu , angali mimi napenda staili nyingi hivyo kuto enjoy mapenzi. cha kushangaza binti kaniganda na ndugu zake wameshaanza kunifahamu.

mnanishaurije wadau niendelee nae nimuowe au nimpotezee maana simuelewi, anadai nikimuacha atajiuwa.

Mzee unajadili kumuoa kwa sababu ya staili??nina mashaka mno...wenzako tuliangalia kuanzia Tabia,uaminifu na mengineyo lakini sio staili ya kuwa faragha....kwan ukishamuoa itakuwa ni uchambuzi wa staili tuu au familia (watoto)wanatafutwa kwa staili tuu??
 
:hail::hail::hail::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::bump:
 
wadau, Kuna binti mmoja anajidai ananipenda ila kinachonishangaza ni kitandani yeye anajikalisha tu, hataki kubadli staili tofauti anadaI ATAUMIA. yeye anataka staili tatu tu , angali mimi napenda staili nyingi hivyo kuto enjoy mapenzi. cha kushangaza binti kaniganda na ndugu zake wameshaanza kunifahamu.

mnanishaurije wadau niendelee nae nimuowe au nimpotezee maana simuelewi, anadai nikimuacha atajiuwa.

Bwana weye una mambo mengi kama unga wa ngano,wewe kiuno unaweza kukikata? kinakatwaje? na hizo style nyingi kwanini usimueleweshe kwa mapenzi na huba kama kweli unampenda? usishindwe nakupika ukasingizia moshi,kama umesha mshiba muache aende Hawara hana Talaka...............
 
wadau, Kuna binti mmoja anajidai ananipenda ila kinachonishangaza ni kitandani yeye anajikalisha tu, hataki kubadli staili tofauti anadaI ATAUMIA. yeye anataka staili tatu tu , angali mimi napenda staili nyingi hivyo kuto enjoy mapenzi. cha kushangaza binti kaniganda na ndugu zake wameshaanza kunifahamu.

mnanishaurije wadau niendelee nae nimuowe au nimpotezee maana simuelewi, anadai nikimuacha atajiuwa.

wewe kicheche tukushauri nini? la muhimu kwako ni kumwamini Yesu Kristo Mnazarethi atakurehemu na kukusamehe uovu wako nawe utakuwa kiumbe kipya.
 
wadau, Kuna binti mmoja anajidai ananipenda ila kinachonishangaza ni kitandani yeye anajikalisha tu, hataki kubadli staili tofauti anadaI ATAUMIA. yeye anataka staili tatu tu , angali mimi napenda staili nyingi hivyo kuto enjoy mapenzi. cha kushangaza binti kaniganda na ndugu zake wameshaanza kunifahamu.

mnanishaurije wadau niendelee nae nimuowe au nimpotezee maana simuelewi, anadai nikimuacha atajiuwa.
Nenda nae taratibu. Umfundishe hizo style unazotaka, atazipendea tu kadiri siku zitakavyoendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom