C chifu77 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 902 Reaction score 597 Sep 3, 2014 #1 Kuna mwanamke yuko hapa ni mbishi sijawahi ona. Anadai eti oo hawezi kutumia jina la UKOO WA MUME wake. Khaaaa, nikamwambia ajifunze kwa ma-first lady maana wao wanatumia majina ya waume zao yaani marais. Hawa mabinti wa siku hizi taabu kweli kweli.
Kuna mwanamke yuko hapa ni mbishi sijawahi ona. Anadai eti oo hawezi kutumia jina la UKOO WA MUME wake. Khaaaa, nikamwambia ajifunze kwa ma-first lady maana wao wanatumia majina ya waume zao yaani marais. Hawa mabinti wa siku hizi taabu kweli kweli.