Mwanamke hana Dini

Mwanamke hana Dini

kindikwili

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
1,862
Reaction score
2,876
Nimerudi tena wadau wa JF kwa mara nyingine!
Katika pitia pitia thread mbali mbali humu JF nimekutana na dada moja akiomba ushauri wa nini afanye maana kapata mchumba ambaye ni muislamu na yeye ni Mkatoliki, kwahiyo anauliza je abadili dini?. Kuna member moja wa kike akamjibu "mwanamke hana dini", mwingine akamwambia "wewe kataa tu utazeekea nyumbani". Nami naomba sasa niweke vitu fulani sawa maana suala hili limekuwa likiweka watu kwenye mazingira magumu sana.

Imani- Kulingana na biblia imani kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasioonekana. Kutokana na hili ndiyo maana Wakristo wanaamini kwamba kuna utatu mtakatifu bila shida (Baba, mwana na Roho mtakatifu). kwababu uwepo wa utatu mtakatifu ni kitu nje ya tunachoweza kuona bali inawezekana tu kwa imani. Lakini Yesu anasema "mimi ndimi njia ukweli na uzima, mtu hawezi kwenda kwa baba yangu bila kupitia kwangi". Lakini tume Paulo anasema katika kitabu cha wagalatia 1:6......" Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha kwa upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine (mwanamke hana dini). Wala si nyingine ,lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo.Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yoyote isipokuwa hiyo tuliyowahuburi , na alaaniwe". Kwahiyo napenda kuwambia ndugu zangu wa kike kwamba imani ambayo sisi wakristo tunaikiri si jambo dogo, limepatikana kwa mateso makali ya Yesu Kristo pale msalabani pamoja na mateso ya mitume waliyoisimamia imani hiyo.

Shida inakuja pale mtu anaposhindwa kubaini tofauti kati ya dini na imani, mwanamke anaweza kubadili dini na isiwe shida kabisa kama ataendelea kuwa na imani yake ile ile. Mfano Mkristo Mlutheri anaweza kubadili dini na kuwa Mkristo Mkatoliki na V.V na kusiwepo na shida . Lakini KUTOKA KWENYE UKRISTO NA KWENDA KWENYE UISLAMU AU KINYUME CHAKE HUKO SI KUBADILI DINI NI KUKANA IMANI YA AWALI NA KUKUBALI IMANI MPYA.

Sasa mtume paulo anauliza je, nini kitanitenga na upendo wa Mungu baba?, je ni dhiki, maradhi, magonjwa, njaa ?. Kwa mkristo mwenye kuielewa imani yake hata kuzeeka nyumbani hakuwezi kukufanya ukane imani yako. Waraka wa pili wa Petro 2:1.. " Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu , kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo , watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua , wakijiletea uharibifu usiokwisha".

Dada zangu msijifanye hamna dini kwasababu imani yetu inaendana na dini zetu, kuwa muaminifu kwa Mungu naye atakupa mume wa kufanana nawe hasa kwenye imani yako . Usiwe na haraka na ndoa, usikane imani yako kwasababu ya ndoa kama kweli unajua nini maana ya imani.

Nimekurupushwa hapa ila siku nikipata muda nitaleta somo hili kwa kirefu.
 
Ni kwavile ww utolewi mahari zungumza utakacho
 
Wengi tumerithi dini na imani bila kuamini kwa dhati lakini laitu tungejua maana ya imani hasa imani ya kikrito basi tusingekana imani kwa issue ndogo kama kuolewa. Unakana imani ili upate mume wakati mitume wao waliuwawa vifo vya mateso na bado waliishika imani yao. Paulo anasema 'nimevipiga vita vilivyo vizuri mwendo nimeumaliza imani nimeilinda' usidhani huo mwendo anaozungumzia ni wa kwenda kustarehe. Ni mwendo wa mateso na dhiki nyingi sana. Wewe unakana imani ili upate mume!!!
 
Binadamu tumekua wa ajabu sana. Mtu anamkana Yesu kisa akaoe dada wa Kiislam. Wakati huyo anaemuoa hana uhakika wa kuiona hata Kesho.
 
Your the real great thinker. 1.Umetumia maandiko ya biblia. 2 Umefafanua kati ya Imani na dini. 3.haujakashfu dini zingine. Pia hata katika uislamu mwanamke anatambulika kuwa na dini. Watu wengi hawana ulewa
 
Nimerudi tena wadau wa JF kwa mara nyingine!
Katika pitia pitia thread mbali mbali humu JF nimekutana na dada moja akiomba ushauri wa nini afanye maana kapata mchumba ambaye ni muislamu na yeye ni Mkatoliki, kwahiyo anauliza je abadili dini?. Kuna member moja wa kike akamjibu "mwanamke hana dini", mwingine akamwambia "wewe kataa tu utazeekea nyumbani". Nami naomba sasa niweke vitu fulani sawa maana suala hili limekuwa likiweka watu kwenye mazingira magumu sana.

Imani- Kulingana na biblia imani kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasioonekana. Kutokana na hili ndiyo maana Wakristo wanaamini kwamba kuna utatu mtakatifu bila shida (Baba, mwana na Roho mtakatifu). kwababu uwepo wa utatu mtakatifu ni kitu nje ya tunachoweza kuona bali inawezekana tu kwa imani. Lakini Yesu anasema "mimi ndimi njia ukweli na uzima, mtu hawezi kwenda kwa baba yangu bila kupitia kwangi". Lakini tume Paulo anasema katika kitabu cha wagalatia 1:6......" Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha kwa upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine (mwanamke hana dini). Wala si nyingine ,lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo.Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yoyote isipokuwa hiyo tuliyowahuburi , na alaaniwe". Kwahiyo napenda kuwambia ndugu zangu wa kike kwamba imani ambayo sisi wakristo tunaikiri si jambo dogo, limepatikana kwa mateso makali ya Yesu Kristo pale msalabani pamoja na mateso ya mitume waliyoisimamia imani hiyo.

Shida inakuja pale mtu anaposhindwa kubaini tofauti kati ya dini na imani, mwanamke anaweza kubadili dini na isiwe shida kabisa kama ataendelea kuwa na imani yake ile ile. Mfano Mkristo Mlutheri anaweza kubadili dini na kuwa Mkristo Mkatoliki na V.V na kusiwepo na shida . Lakini KUTOKA KWENYE UKRISTO NA KWENDA KWENYE UISLAMU AU KINYUME CHAKE HUKO SI KUBADILI DINI NI KUKANA IMANI YA AWALI NA KUKUBALI IMANI MPYA.

Sasa mtume paulo anauliza je, nini kitanitenga na upendo wa Mungu baba?, je ni dhiki, maradhi, magonjwa, njaa ?. Kwa mkristo mwenye kuielewa imani yake hata kuzeeka nyumbani hakuwezi kukufanya ukane imani yako. Waraka wa pili wa Petro 2:1.. " Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu , kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo , watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua , wakijiletea uharibifu usiokwisha".

Dada zangu msijifanye hamna dini kwasababu imani yetu inaendana na dini zetu, kuwa muaminifu kwa Mungu naye atakupa mume wa kufanana nawe hasa kwenye imani yako . Usiwe na haraka na ndoa, usikane imani yako kwasababu ya ndoa kama kweli unajua nini maana ya imani.

Nimekurupushwa hapa ila siku nikipata muda nitaleta somo hili kwa kirefu.
safi sana me mwenyewe nimemshangaa anauliza nini inamaana yeye haijui din yake ni ipi tatizo baadhi ya wanawake hovyo kishenzi yaani wanawaza kuolewa tu vingine hawawazi kabisa
 
Back
Top Bottom