Mwanamke hakomolewi

Mwanamke hakomolewi

IKARAHANSI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
398
Reaction score
479
Baadhi ya wanaume hasa vijana wanapovunja mahusiano na wasichana/wapenzi wao huanza kuwatolea siri za ndani hasa maungoni na kuzitangaza hazarani kwa kudhani kuwa wakifanya hivyo watakuwa wanawakomoa na wanawake/wasichana hao hawatapata wapenzi wengine.

Mfano waweza kukuta kijana wa kiume akimtangaza msichana walieachana naye kuwa ana "bwawa", (binafsi naona huku ni kujidhalilisha). Lakini jambo tunalopaswa kujua ni kuwa ukimtangaza msichana kuwa ana "bwawa" lazima ujue kuwa Wakulima wa mikoani watakuja kufanya utafiti kuona kama linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji, sasa kabla ya utafiti lazima watalipia ada na kawaida ada huwa hairudi iwe umefanikiwa ama la.

TANESCO wakisikia "bwawa" lazima walitafute ili kuona kama linaweza kuzalisha umeme wa kuingiza kwenye grid ya taifa ili kuwezesha uzalishaji wa umeme utakaoliwezesha taifa kwenda kwenye uchumi wa kati, nao watakuja na kulipa ada (fedha) ili kufanya utafiti kuona kama wanaweza kupata umeme. Ada hiyo haitarudishwa (bila kujali kama wamefanikiwa ama hawakufanikiwa)

TBS hawa ni shirikika la taifa la kudhibiti viwango na ubora wa bidhaa, wao wakisikia" bwawa" wanakuja kuangalia ubora na pia kulithibitisha (kuna watu hawajui kutofautisha kati ya bwawa na dimbwi) kabla ya kufanya kazi hiyo watalipa "ada" (ambayo haitarudishwa) lengo la utafiti wa TBS ni kuona na kutambua kama ni bwawa kweli au ni dimbwi ili waweze kupeleka taarifa sahihi serikalini na kuiwezesha kuandaa mpango kazi kulingana na hali ya eneo husika

Je! Mwanamke/Msichana mwenye hilo "bwawa" ambaye ulimtangaza ili kumkomoa na sasa amepokea "ada" zote hizo unadhani anaweza kuwa mwenzako kiuchumi? baadae utakuja tambua kwamba ulimpiga chura teke na hivyo kumuongezea mwendo

WANAUME WENYE TABIA YA KUTANGAZA MADHAIFU YA WAPENZI WETU TUJITATHIMINI UPYA MAANA MWANAMKE HAKOMOLEWI.

Uzi tayari karibuni kwa michango na maoni pia ushauri bila kusahau mapovu!!
 
kwanza wanawake wajitambue,kabla mahusiano lazima ajue biography ya mtu anaetaka kuwa nae.wasiongozwe na tamaa za mwili ama fedha na mali.
 
Duuh sasa huyo mwanamke anayepitiwa na wote hao naye si anajikomoa mwenyewe tu

Halafu mwanaume unatishwaje na uchumi wa mwanamke aliyefanikiwa kwa kudanga tu
 
Huyo sio mwanaume ni mvulana. Mwanaume haachani na mwanamke kwa shari.
 
Uchumi wa kati na sera zake....

Mkuu mimi ni Tanesco, naweza kukupata wap kwa utafiti zaidi?
 
Duuh sasa huyo mwanamke anayepitiwa na wote hao naye si anajikomoa mwenyewe tu

Halafu mwanaume unatishwaje na uchumi wa mwanamke aliyefanikiwa kwa kudanga tu

Ndugu ile kitu "K" huwa haina makombo ni suala la usafi tu ili kuiepusha na maambukizi, kuhusu kudanga ni mpaka uwe unamjua kiundani ndo hatokutisha ila kwa wasiomjua watamsujudia kabisa. Chezea fedha!!!!!
 
Uchumi wa kati na sera zake....

Mkuu mimi ni Tanesco, naweza kukupata wap kwa utafiti zaidi?

Mimi pia ni TANESCO ila mimi ni mfanya utafiti siyo mfanyiwa!! (nina imani umenielewa)
 
Mimi pia ni TANESCO ila mimi ni mfanya utafiti siyo mfanyiwa!! (nina imani umenielewa)
Sasa mkuu Acha wajipromot wahusika, matokeo yake tunagongana wenyewe matanesco mkoa wa mara na matanesco mkoa mtwara
 
Sasa mkuu Acha wajipromot wahusika, matokeo yake tunagongana wenyewe matanesco mkoa wa mara na matanesco mkoa mtwara

Mkuu!! Mimi nimetoa elimu tu, Promotion ni mtazamo wako. Hata hivyo Maisha ni kusaidiana!!!
 
Vipi nao wakitutangazia tuna vibamia tunafanyaje mkuu ?


Tuwafanyie UCHEBELIZATION ?
 
Uanaume, ni pamoja na kutunza siri za mpenzi wako hata baada ya kuachana. Lopolopo ni tabia za kinadada.
Shida zote hizi ni vijana kupenda kukaa jikoni na mama zao
 
Vipi nao wakitutangazia tuna vibamia tunafanyaje mkuu ?


Tuwafanyie UCHEBELIZATION ?

Akikutangazia una kibamia unanyamaza tu kuepusha shari, maana huwezi kushindana na mwanamke kwa kuongea atakuchamba mpaka uende kuoga (maana atakuchafua kwa maneno)
 
Back
Top Bottom