Mwanamke haaminiki



Wewe bado unawaamini... Hivi Samahani lakini wewe ni Mkristo au Muislam? Don't ever Trust a Woman na hata maandiko yamesema usimwamini ila Uishi nao Kwa Akili....

Jifunze kupitia Samson na Delila, Jifunze kupitia Adam na Hawa...

NEVER AND I REPEAT NEVER TRUST A WOMAN... HATA MAMA YAKO USIMWAMINI THE ONLY ONLY THING YOU COULD TRUST YOUR MOTHER NI KWA KUKUZAA TU THE REST DO NOT TRUST.
 
Mwanamke Ni Msaliti Haswa Wala Usijiraumu Kabisaa Kwanza Angekuharibia Ndoto Zako
 
Kuna mdau kasema hata mama yako usimwamini huku ni kuwadharau na kuwashushia heshima mama zetu, mama waliotulea kwa shida na raha umeumwa amehangaika na wewe ulimfanyia kia aina ya madhila na bado akakustahmilia leo msiwaamini mtakuja kupata lana bila kujijua

Next time tafta alieenda age kidogo 18 yrs bado akili za kitoto zinamsumbua

#bailly's
 
Huyo mmoja tu kakutoa imani kwa wote
 
Hakuna mstari wa kitabu cha mithali unaosema " ishini na wake zenu kwa akili"... We pia inaelekea huaminiki hausemi ukweli
Ninaweza nisiw nimenukuu vizuri ila kuna maandiko yanahimiza ishini na wake zenu kwa akili, sikumbuki ila nikipata nitakuletea
 
MKUU UMEONGEA KWA HISIA SANA KAMA NAKUONA HIVI. OKAY NOTED!
 
Kwahyo uligundua ipo laini kama kapigwa jana yake au?
 

Mkuu usiniquote tofauti inategemeana tunatofautiana katika uelewa, but all in all Do not trust a Woman.. Sasa kama wanawake wapo wa aina tofauti basi utaniambia..

Hata vitabu vitakatifu vimeelekeza ishini kwa akili sasa kama alitofautisha sijui
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…