Kabla sijasoma content sawasawa nimekimbilia hapa baada ya kushtuka kuwa umepata sup! Mwenzetu BADILI TABIA vipi tena hujamuelewa teacher? Ngoja na mie niisome hii topic vizuri sitaki sup mie.
Mnh! BADILI TABIA nimeshindwa mie. Hapa sipati hata supplementary maana nisha pigwa disco! Sijui? Labda snowhite na amu watapass maana ndio vipanga wa topics za teacher Natalia.
mie kila topic sielewi..... si ndo mwanzo wa kufeli huu? Na mwalimu wa tuition hakuna.....
itabidi wakija tukafanye discussion, la sivyo tumeumia