Mwanamke gani ungependa umuoe?

Nikimpata Miss Natafuta Dunia nzima itakuwa mfukoni mwangu, mdada ananipagawisha sana huyu
 
Bro taja namba bwana mbona una ukorofi wa kiafande?!
Mimi nachagua namba 2. Kwanini? Bikra ni nini bwana? Mimi nipo tayari kuoa hata mwenye mtoto mmoja, bora tu awe na mapenzi ya kweli. Unaweza kuoa bikra na baadae akabadilika na usiamini. Lakini ukioa ambaye alikwisha pitia maisha hakuna mapya yatakayomzuzua. Ukija kwenye uchangamfu ni kabisaa, mimi huwa nawapenda sana wanawake wachangamfu kwani hata nyumbani kukiwa na challenge unajisikia ahueni mkeo anapokuchangamkia. Kwa kifupi nachukua namba 2 bila hata kusita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…