mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Nadhani tuko kundi moja la namba 1 hili kundi ni shida kweli kwa kuchuchumaliaMimi napenda k. mpaka basi. Sijui nipo kundi gani mleta mada?
Noma sanaa,ila hongera umepata wa kufanana Naye, je unaweza kuchepuka tena hapo jamani?Mimi na mke wangu . Mapenzi ni sehemu ya maisha yetu. Tupo kundi namba moja. Nampenda mke wangu.
Raha sana Yani tukiamua tunakula utamu kuanzia asubuhi mpaka kesho yake. Ni kupeana offtime tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nawaza kuchepuka kwa tamaa zangu binafsi . Ila Siri penzi nje ya ndoaNoma sanaa,ila hongera umepata wa kufanana Naye, je unaweza kuchepuka tena hapo jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani si vizuri bana,tamaa za nini tena wkt mkeo Yuko vizuri ,wanaume nyiee[emoji3]Hapa nawaza kuchepuka kwa tamaa zangu binafsi . Ila Siri penzi nje ya ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
"Sana" inaboa!Mimi na mke wangu . Mapenzi ni sehemu ya maisha yetu. Tupo kundi namba moja. Nampenda mke wangu.
Raha sana Yani tukiamua tunakula utamu kuanzia asubuhi mpaka kesho yake. Ni kupeana offtime tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi ni aina namba 1,
na beby wangu ni namba 3,
asikwambie mtu aiseee, hii kitu inatesa sana, hasa ww unaweza kua na hamu nae lakn yeye hana mood, unakua kama unamlazimisha vile thou anakupa ila sio kwa kuchangamka sanaa.
unaweza hisi hakupendi au unaibiwa lakn hulka yao ndo ipo ivo, na siku akiwa na haja na mashine, ukipiga chako kimoja na yy akitoka kimoja ndo bas hapo anakua keshamaliza yake.
inahitaji umuandae kwa muda mrefu sanaa kumuweka ktk mazingira ya kupiga mechi, anza kuchat nae mapema sana, muingize kwny line kabla hata hujaonana nae, la sivyo unaweza pewa visingizio visivo vya lazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
HaaahaaaaMimi na mke wangu . Mapenzi ni sehemu ya maisha yetu. Tupo kundi namba moja. Nampenda mke wangu.
Raha sana Yani tukiamua tunakula utamu kuanzia asubuhi mpaka kesho yake. Ni kupeana offtime tu.
Sent using Jamii Forums mobile app