Kamau Kingu
Member
- Feb 8, 2015
- 71
- 7
Atakuja Anaejfungua Pesa,vp Nae Mtamkataa
ajajajaja! sasa waijaribu hiyo laptop ka inapga dili fresh! huyo mama apewe mimba nyngne asaiv atajifungua mapacha
mama hpkwahiyo huyo mama atakuwa anaitwa mama laptop??
Akitokea mtu akazaa trekta nishtueni, nina shida nalo
yaaap! mkuu na akizaa mapacha na mm ntalihitaji moja!
Niko katika harakati za kupata picha hapa..
marejesho
Preta
Starehe Kitandani
NIGGA
Mtoto halali na hela
Hebu angalieni jukwaa iliyowekwa thread yenyewe!!!
Kha ha ha ha haaaaa! Nilijiuliza sana!!
fanya tujue kabisa kapewa mimba na nani.isijekuwa kapewa na desktop.
Yaaani ansubiri mtu ajifungue toyota ist