Mwanamke bila nguo wengi ni majanga

Mwanamke bila nguo wengi ni majanga

Status
Not open for further replies.
Hivi humu MMU kuna watoto wa shule au? hizi thread nyingine zinaonyesha kuna adolescence humu, hebu muende kule kwenye blogs za teen nini sijui mtuache sie watu wazima

Dawa ni kutotoa comment yoyote...ila kwa kuwa kuna watoto wenzao basi utaona wanavyokimbizana humu kama wanacheza kombolelela mtaa wa saba
 
kama wanawake ni wabaya. achana nao chukua wanaume wenzio. au wewe mwenyewe uwe mwanamke wa wanaume wenzio. maana bila shaka utakuwa mzuri kuliko wanawake.

Well Said Demba!!!!! Anatafuta bwana. He is a beautiful boy!!!!!
 
Hebu tafuta chumba chenye vioo 2 vikubwa vinavyotazamana, vua nguo zako na uanze kujiangalia kuanzia visigino hadi vigimbi vyako endelea kupanda juu hadi tumboni na "hipusi" zako zikoje, geuka na nyuma jiangalie mgongo wako na kisha kifua chako kimekaaje, jipe maksi halafu uje utuambie wewe Majaribu2013 bila nguo ukoje, mauzauza, mazombizombi au..?
 
Last edited by a moderator:
asante kwa ujumbe. si unajua mume akupendaye hawezi kukuambia haya? but huku tunajifunza pia. Ila wewe pia oa, uwe na mke mmoja uache kuona manyamanyama na utupu wa wanawake wengi, Mungu hapendi.
 
Hebu tafuta chumba chenye vioo 2 vikubwa vinavyotazamana, vua nguo zako na uanze kujiangalia kuanzia visigino hadi vigimbi vyako endelea kupanda juu hadi tumboni na "hipusi" zako zikoje, geuka na nyuma jiangalie mgongo wako na kisha kifua chako kimekaaje, jipe maksi halafu uje utuambie wewe Majaribu2013 bila nguo ukoje, mauzauza, mazombizombi au..?
haa haaa haaaa happiness win umeniacha hoi. ujue huyu Majaribu2013 ni mrembo sana. hakuna mwanamke anayeweza kumzidi.
 
Last edited by a moderator:
Sa ka miguu hamuwezi kuosha mpaka kwa wauza urembo, mbunye mtaweza kweli?
 
haa haaa haaaa happiness win umeniacha hoi. ujue huyu Majaribu2013 ni mrembo sana. hakuna mwanamke anayeweza kumzidi.

Unajua DEMBA, kabla ya kuwachambua wengine kwa ubaya walionao hasa wa kimaumbile huyu Majaribu2013 angejichambua yeye kwanza ... akumbuke kutoa boriti kwenye jicho lake ndipo angeona la wengine. Wanawake sisi tunawavumilia sana wanaume kwa mashepu yao mabaya na ndio maana hutaona tukiwasimanga tunajua hawajajiumba wao! mambo ya chumbani baada ya kuvuana nguo anayaletaje humu? nasubiri asilimilia zake!
 
Last edited by a moderator:
loh!wale wazuri kuwatazama tu isee ila sio kwa kuwala!!!pole mkuu ndo ukubwa huo....
 
Unajua DEMBA, kabla ya kuwachambua wengine kwa ubaya walionao hasa wa kimaumbile huyu Majaribu2013 angejichambua yeye kwanza ... akumbuke kutoa boriti kwenye jicho lake ndipo angeona la wengine. Wanawake sisi tunawavumilia sana wanaume kwa mashepu yao mabaya na ndio maana hutaona tukiwasimanga tunajua hawajajiumba wao! mambo ya chumbani baada ya kuvuana nguo anayaletaje humu? nasubiri asilimilia zake!
ni kweli best. ila nimegundua kwamba huyu Majaribu2013 sio mzima, hii ni kutokana na tabia aliyoionesha hapa jamvini ya kuchukua sana wanawake na hili wala halihitaji darubini kulitambua, sasa nimemshauri amuone psychologist ili apate msaada wa kitalamu ili tatizo lake liishe.
 
Last edited by a moderator:
Miili yote mibovu tu si wanawake si wanaume!coz watu wengi hawafanyi mazoezi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom