Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Acha kushambulia wanawake!! Hata mama yako aliyekuzaa ni mwanamke na baada ya kuwazaa ninyi matiti yalilala mithili ya lapa, michirizi katika mwili, ngozi kunyauka, n.k. Unataka mwanamke akizaa aendelee kuwa kigoli??? Kwa wale wanawake ambao bado ni mabinti hakika pengine wanatakiwa waji keep zaidi but unapozungumzia mwanamke ambaye ameshazaa na ambaye pengine mume wake ni mlafi wa 6x6 inamlazimu kumeza au kutumia uzazi wa mpango ni lazima mwili wake ubadilike!!! Kwa mantiki hii tuchunge sana midomo yetu tunapozungumzia wanawake, weka category ya wasichana na wamama. Vinginevyo tutakuwa tunatukana wamama wetu bila kujitambua. Angalizo, hata kama umezaa mwanamke jitahidi kufanya mazoezi, kula mboga na matunda kwa wingi, maji ya kunywa na maziwa (mgando na fresh).
Like like