Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,548
Wakwetu upo? mmemfanya nini mdau? mbona kawaamulia hivi?Block yes blocked!!!!
Wakwetu upo? mmemfanya nini mdau? mbona kawaamulia hivi?Block yes blocked!!!!
Sio kwamba kaogopa yale ma hips ya tumboni???una lako jambo na wanawake wewe so bureeeeee
waache wanawake wapumue bana
Hizo type unazokutana nazo ndo standard yako!!!!!!!!!!!!!!!!! once status ikipanda utakutana na watoto wazuri kama sie................... usitulaumu wanakwake laumu ubongo wako mgando unaokufanya ushindwe ku make money!!!!!!!!!!!!!!"""""""
Heheeeeeeeeeeeeeeee,,,,,,,,, wanawake standard unaotaka huwezi kuwapata bila ya fedha.
Acha kushambulia wanawake!! Hata mama yako aliyekuzaa ni mwanamke na baada ya kuwazaa ninyi matiti yalilala mithili ya lapa, michirizi katika mwili, ngozi kunyauka, n.k. Unataka mwanamke akizaa aendelee kuwa kigoli??? Kwa wale wanawake ambao bado ni mabinti hakika pengine wanatakiwa waji keep zaidi but unapozungumzia mwanamke ambaye ameshazaa na ambaye pengine mume wake ni mlafi wa 6x6 inamlazimu kumeza au kutumia uzazi wa mpango ni lazima mwili wake ubadilike!!! Kwa mantiki hii tuchunge sana midomo yetu tunapozungumzia wanawake, weka category ya wasichana na wamama. Vinginevyo tutakuwa tunatukana wamama wetu bila kujitambua. Angalizo, hata kama umezaa mwanamke jitahidi kufanya mazoezi, kula mboga na matunda kwa wingi, maji ya kunywa na maziwa (mgando na fresh).Acha niseme kweli,
Wanawake wengi wakivaa nguo wanaonekana nadhifu sana kila idara, yaani ukimuangalia nyuma alivyojaza unatamani angekuwa wakuliwa kama nyama. Matiti yalivyonyanyuka, tumbo lilivyobanwa vizuri, nywele safi mguu wa bia yaani:smile-big:unaweza kudhani sasa umezimia. Kiukweli wanawake wakiwa wamevaa nguo zao hasa za siku hizi ni wazuri sana kwakweli.
Haya sasa majanga yanapoanzia:-
Wengi wawanawake hao ambao hupendeza sana ikitokea ula bahati ya kwenda naye 6X6 akavua nguo zake wengi wao mimi huwa naishia bao moja tu nguvu inapotea kabisa na hamu inaisha kabisa nashindwa kurudi tena, unajua kwanini wengi wao ni wabaya sana bila nguo, unakuta matiti hayo uliyokuwa unayaona yamesimama yaani yalishalegea kuliko hata ndala. Hilo tumbo lililokuwa limekaza limelegea yaani hata huwezi kulitamani, hizo "hipusi" zilizokuwa nimekaa vizuri kwenye suruali ya jinsi boumba ni majanga tu yaani na matumbo ya siku hizi ya chips. Yyani mwili umejaa minyamanyama tu isiyo na sababu.
Ombi kwa wanawake.
Fanyeni mazoezi kumantain miili yetu jaman, maana unakuta binti mdogo tu lakini akitoa nguo kila kitu kimelegea.
Mnisamehe wanawake.
Hakuongelei wewe bhanaaa wewe huwezi kuwa kama anavyosema kwani hatujuiuna lako jambo na wanawake wewe so bureeeeee
ukiona wanawake ni 'wabaya bila nguo' kuwa padre.
Acha niseme kweli,
Wanawake wengi wakivaa nguo wanaonekana nadhifu sana kila idara, yaani ukimuangalia nyuma alivyojaza unatamani angekuwa wakuliwa kama nyama. Matiti yalivyonyanyuka, tumbo lilivyobanwa vizuri, nywele safi mguu wa bia yaani:smile-big:unaweza kudhani sasa umezimia. Kiukweli wanawake wakiwa wamevaa nguo zao hasa za siku hizi ni wazuri sana kwakweli.
Haya sasa majanga yanapoanzia:-
Wengi wawanawake hao ambao hupendeza sana ikitokea ula bahati ya kwenda naye 6X6 akavua nguo zake wengi wao mimi huwa naishia bao moja tu nguvu inapotea kabisa na hamu inaisha kabisa nashindwa kurudi tena, unajua kwanini wengi wao ni wabaya sana bila nguo, unakuta matiti hayo uliyokuwa unayaona yamesimama yaani yalishalegea kuliko hata ndala. Hilo tumbo lililokuwa limekaza limelegea yaani hata huwezi kulitamani, hizo "hipusi" zilizokuwa nimekaa vizuri kwenye suruali ya jinsi boumba ni majanga tu yaani na matumbo ya siku hizi ya chips. Yyani mwili umejaa minyamanyama tu isiyo na sababu.
Ombi kwa wanawake.
Fanyeni mazoezi kumantain miili yetu jaman, maana unakuta binti mdogo tu lakini akitoa nguo kila kitu kimelegea.
Mnisamehe wanawake.
Hakuongelei wewe bhanaaa wewe huwezi kuwa kama anavyosema kwani hatujui