man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 422
- 205
Habari za muda huu ndugu zangu kuna jambo moja limenishangaza nikaona sio vibaya tukishirikiana kulitatua kama nitamkwaza mtu naomba aniwie radhi nipo na girlfriend wangu kwa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa week iliopita tukaamua kufanya wakati wa tendo njia ilikuwa ndogo alikuwa akiugulia kwa maumivu makali jambo lililo nipa maswali sikuona hata tone la damu.
Je kweli ilikuwepo au nilidanganywa?
Je kweli ilikuwepo au nilidanganywa?