Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

mchumba au mwanamke wa nje siku zote anakuwa anatabia za a liability woman's lakini ukimsweka ndani wewe ndo wakumshape chief piga pin weka misimamo yako ASAP utaona tu kakaa kwenye reli na ata`adopt zile tabia zako na atakuwa asset kwa maisha yako yote

shida haiko kwao ni vile tu tunavovyo wapokea na kuishi nao hawa viumbe ni bendera mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…