Mwanamke asiye kuwa na uke

Unamfanyia operation, unaongeza ukubwa wa tundu maisha yanasonga.
 
Hofu ya nini hapo???,wengine ni mtego ili uchepuke!!!(N:B Mchepuko sio dili hata kidogo)
Nimewahi kutana na mwanamke wa hyo hali nilidhan ni mkosi kwangu na iliniumiza sn kiakili but baada ya kuongea na madaktar zaidi ya kumi ndio walinitoa hofu.!
 
Nimesisimkwa sana baada ya kumaliza sread yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…