Mwanamke apooza mwili baada ya kufikishwa kileleni

Nahisi kila wakitazamana kuna kapicha kanajirudia ka Siku ya mechi hiyo.
 
Safi kwa kushughulika vyema man,make wanawake wananyodo sanaa naramara u hanifkishi kilelen,si ukapande mlima kibo!!! Safi sana!
 
Sijui kam amesharudia huo mchezo tangu apone. Au atakuwa aliogopa kabisa.
 
Lazima alikuwa na risk factors zingine tofauti na kufikishwa kileleni
 
Alikuwa na matatizo yake kabla ya hapo... Hicho kilele ni kama sababu tuu... Na umri pia umechangia..


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…