Mwanamke anayetukana ananikosha sana

Habari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu

Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale matusi ya nguoni yale.

Nakumbuka nilipokuwa form six mwaka 2000, kuna demu mmoja jirani yetu niliwahi kumrekodi anatukana ndo nikawa naitumia "kurekebisha mambo fulani" nikiwa chooni.

Hata wakati naoa nilikuwa nimeweka kigezo kikubwa kuwa mwanamke lazma awe anajua kutukana. Nilishawahi kwenda kutoa posa sehemu nikamwita mschana pembeni nikamuomba anitukane (Of coz alishangaa) nilivyoona ananitolea tu mimacho nikasepa.

But huyu niliyenaye muda huu anatukana balaa. Kwa hiyo naenjoy tu....Nikifika tu home anaanza matusi basi fasta tunaelekea chumbani...

(Nasubiri kusikia mwingine aseme naye ana tabia kama hii)
Of course kuna kaukwel hapa wanaume wengi tunapagawa na wanawake wa style hio ila asitukane sana akapitiliza halafu pia kwenye kigezo cha kuoa mwanamke wa hivo nadhani umekosea
 
dah! hapo ndipo ninapoamini kama ubwabwa kwa kingereza unaitwa raisi basi ugali utaitwa wazir mkuu
 
Ahaaa ahaaaa JF kiboko hata ukiwa na mihasira yako ukiingia humu utacheka tu
 
Haha aiseee yaani ni akutukane tu hadharani bila sababu ???? I like it dirty ila sio kwa stahili hii
 
Back
Top Bottom