Mwanamke anayetukana ananikosha sana

Mwanamke anayetukana ananikosha sana

Only on Jf kwakweli hbr yako bw vampire Jina nalo ni tatizo
 
Habari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu

Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale matusi ya nguoni yale.

Nakumbuka nilipokuwa form six mwaka 2000, kuna demu mmoja jirani yetu niliwahi kumrekodi anatukana ndo nikawa naitumia "kurekebisha mambo fulani" nikiwa chooni.

Hata wakati naoa nilikuwa nimeweka kigezo kikubwa kuwa mwanamke lazma awe anajua kutukana. Nilishawahi kwenda kutoa posa sehemu nikamwita mschana pembeni nikamuomba anitukane (Of coz alishangaa) nilivyoona ananitolea tu mimacho nikasepa.

But huyu niliyenaye muda huu anatukana balaa. Kwa hiyo naenjoy tu....Nikifika tu home anaanza matusi basi fasta tunaelekea chumbani...

(Nasubiri kusikia mwingine aseme naye ana tabia kama hii)

Ha ha haaa!!! Umenifanya nicheke sana aisee. Ama kweli dunia ina mambo.
 
Atajitokeza mwingine humu atasema akila kinyesi cha mwanamke ndio anasikia n.y.e.g.e,dah hili nalo ni moja kati ya yale maajabu ya dunia hii.
 
Habari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu

Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale matusi ya nguoni yale.

Nakumbuka nilipokuwa form six mwaka 2000, kuna demu mmoja jirani yetu niliwahi kumrekodi anatukana ndo nikawa naitumia "kurekebisha mambo fulani" nikiwa chooni.

Hata wakati naoa nilikuwa nimeweka kigezo kikubwa kuwa mwanamke lazma awe anajua kutukana. Nilishawahi kwenda kutoa posa sehemu nikamwita mschana pembeni nikamuomba anitukane (Of coz alishangaa) nilivyoona ananitolea tu mimacho nikasepa.

But huyu niliyenaye muda huu anatukana balaa. Kwa hiyo naenjoy tu....Nikifika tu home anaanza matusi basi fasta tunaelekea chumbani...

(Nasubiri kusikia mwingine aseme naye ana tabia kama hii)
Utakuwa na Matatizo
 
Kuna kitu kinaitwa FETISH.

Sasa kama mnamshangaa huyu..... Duh....what type of sex lives do you people have!!!
 
Habari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu

Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale matusi ya nguoni yale.

Nakumbuka nilipokuwa form six mwaka 2000, kuna demu mmoja jirani yetu niliwahi kumrekodi anatukana ndo nikawa naitumia "kurekebisha mambo fulani" nikiwa chooni.

Hata wakati naoa nilikuwa nimeweka kigezo kikubwa kuwa mwanamke lazma awe anajua kutukana. Nilishawahi kwenda kutoa posa sehemu nikamwita mschana pembeni nikamuomba anitukane (Of coz alishangaa) nilivyoona ananitolea tu mimacho nikasepa.

But huyu niliyenaye muda huu anatukana balaa. Kwa hiyo naenjoy tu....Nikifika tu home anaanza matusi basi fasta tunaelekea chumbani...

(Nasubiri kusikia mwingine aseme naye ana tabia kama hii)
Unaongozwa na shetani, na hakuna asiyejua makazi ya wafuasi wa shetani baada ya kifo ni wapi?
 
Back
Top Bottom