Mwanamke anayetukana ananikosha sana

Mwanamke anayetukana ananikosha sana

Mmh jaman wewe,eeh au na wewe umetokea kwenye familia zinazotukana?maan sio bure
 
Huyu jamaa naona hajaeleweka na wengi humu ila mi nimeelewa alichomaanisha kimpango huu.

Yeye anamzungumzia mwanamke ambaye ni mrembo kama kawaida ila mwenye zile touch za kihuni. Imagine mtoto mzuri kama MEAGAN GOOD akiwa anaongea na wewe awe anakupa kavu tu ile kisela sela, mind you akiwa na watu tofuati awe na lugha isiohusisha matusi kabisa. Yani hio lugha mnaitumia mkiwa peke yenu tu!
mf: -
1.Oi we msng njoo bas nkwambie kitu one time.
2.Vampi nimekumiss kiqumer handsome wangu, njoo bas tu unijunju boo!
3.We mbona unakuwa kama kitobo mshkaji wangu, kwani mi nlikutuma unletee nini qumamaqo?
 
Wanaume wengi huwa wanapenda wanawake wenye tabia zinazofanana na tabia za mama zao
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Huyu jamaa naona hajaeleweka na wengi humu ila mi nimeelewa alichomaanisha kimpango huu.

Yeye anamzungumzia mwanamke ambaye ni mrembo kama kawaida ila mwenye zile touch za kihuni. Imagine mtoto mzuri kama MEAGAN GOOD akiwa anaongea na wewe awe anakupa kavu tu ile kisela sela, mind you akiwa na watu tofuati awe na lugha isiohusisha matusi kabisa. Yani hio lugha mnaitumia mkiwa peke yenu tu!
mf: -
1.Oi we msng njoo bas nkwambie kitu one time.
2.Vampi nimekumiss kiqumer handsome wangu, njoo bas tu unijunju boo!
3.We mbona unakuwa kama kitobo mshkaji wangu, kwani mi nlikutuma unletee nini qumamaqo?
Na mimi nimemuelewa hivohivo mkuu, sipati picha akiwa kijiwe cha masela na ndio lugha zao hizo, kila dk atadindisha dushe.
 
Mi napenda mwanamke asieongea matusi katika hali yake ya kawaida wala hadhubutu kuongea mbele yangu hata kama anaongea na mashostito zake lakini akikokolea wakati wa mechi anajisahau anamwaga matusi ya maana, dah! Napenda sana hapo yaani mzuka unazidi mara mbili, kuna mmoja nataka kumwacha lkn nikikumbuka hayo matusi yake wakati wa mechi nashindwa.
 
Sasa akitukana ka hiyo no.3 hapo juu si anakuwa anajitukana mwenyewe?
 
Na mimi nimemuelewa hivohivo mkuu, sipati picha akiwa kijiwe cha masela na ndio lugha zao hizo, kila dk atadindisha dushe.
ha ha ha ha sema ina raha yake ukimpata demu flexible hivyo, hao wa hivyo pia wana confidence sana!
 
tulitoka mavumbini,,, nna hofu wengine wametoka kwenye mavumbi ya vyoo vya public.... jamaa katisha...
 
Back
Top Bottom