Mwanamke anayetukana ananikosha sana

Mwanamke anayetukana ananikosha sana

ungeoa shoga ndoa yako ingedumu sana, sema ndio hivyo ni dhambi kubwa.
 
YESU alikiita ni kizazi cha nyoka.......
kizazi kilichopotoka.....mnafanya dhambi kuwa kitu cha kawaida
MUNGU AWAHURUMIE
 
nacheka sana inabidi serekali ianzishe huduma ya vichaa hunter maana mmnh shidaa
 
Habari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu

Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale matusi ya nguoni yale.

Nakumbuka nilipokuwa form six mwaka 2000, kuna demu mmoja jirani yetu niliwahi kumrekodi anatukana ndo nikawa naitumia "kurekebisha mambo fulani" nikiwa chooni.

Hata wakati naoa nilikuwa nimeweka kigezo kikubwa kuwa mwanamke lazma awe anajua kutukana. Nilishawahi kwenda kutoa posa sehemu nikamwita mschana pembeni nikamuomba anitukane (Of coz alishangaa) nilivyoona ananitolea tu mimacho nikasepa.

But huyu niliyenaye muda huu anatukana balaa. Kwa hiyo naenjoy tu....Nikifika tu home anaanza matusi basi fasta tunaelekea chumbani...

(Nasubiri kusikia mwingine aseme naye ana tabia kama hii)
Ni maradhi ya akili,Pia kuna wengine hupenda kufanya ngono na wanyama kama mbuzi ngombe n.k
 
Back
Top Bottom