Mwanamke anayekupenda hakuchuni

[emoji23][emoji23][emoji23]amepanga chumba kizima,
 
Bado mtoto sana wewe hata uandishi wako unaonyesha
Sasa upo chuo( inajulikana hali tete )yeye yupo Equity sijui
Akuombe hela gn
Si huna mpaka Bumu?
Unachooosha Dogo Na story za kujichanganya
Lete story hata kuwaza kubuni mradi
Huko chuo anza hata kuuza voucher uwe busy.
 
Anapewa Na wanaume
Wenzio wewe huna Na wala hujui wajibu wako.
Siku hizi ukiwa Na mwanamme hajui wajibu wake unamchunia tu why mpigishane kelele
Kwani nimekuambia simpi? Ila aniombagi ila ninampa na wakati mwingine anakataa.
 
JF Burudani Huku Innocent kule Kiduku lilo
 
We acha tu ndugu yangu.Facebook imehamia hapa
Ngoja nisiwe nasoma aandikacho mana nahisi kuumwa.
Bye
 
Endelea kujisifu mkuu ila ipo siku huyo demu wako atachoka kukuhudumia na hutaamini macho yako
Siokwamba me Mario au sifanyi chochote kwa huyu dada na provide kutokana na uwezo niliyonayo lkn pia huyu dada Kuna mambo anafanya kwaajili yangu bila hata me kumuomba kwahiyo unataka nikatae?
 
Mkuu nimesikitika kwanini unamuita 'DEMU' au unamchukulia oya oya nini mkuu?
 
Sio siri JF ina watoto wengi sana

Unaumwa halafu unaedai mpz wako kakupandisha daladala? (hukua unaumwa wewe)

Unapandishwa dala dala na unadai una laki 3 unashndwa toa wazo hata la babjaji achilia mbali TAX??

Umejikoroga kwenye maelezo

Ungeishia tu kuandika title halafu maelezo andika "Nimemaliza hivyo"

Tofauti na hapo ulichokifanya leo umetunyima kashata maana kahawa bila kashata haishuki
 
Mtoa mada huyo mwanamke wako ni wa kishua sana kama ni hivyo naweza amini kama ni tofauti basi jua ni swala la muda tu, akikutana na wadada wa mjini atakavyokubadilikia hutaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…