Mwanamke anayekupenda hakuchuni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Laki tatu mfukoni, mgojwa bado wapanda daladala?
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mbona unaumia mbavu best..?
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mbona unacheka?
 
Mkuu, embu nijuze kidogo umesema demu wako amepanga chumba kizima kuna mademu wengine wanapanga nusu chumba? Kingine kuna haja gani ya kusema bei ya pango la hicho chumba na kutueleza umepikiwa chakula gani? mimi naona kama vile una expose mambo yako ambayo hayana uhusiano na riwaya nzuri uliyosimulia.
 
Hii ni kweli. Ila hapo inabidi ujiongeze. Siyo unamlemea mtoto wa watu huku ukijisifu eti hakuchuni. Ni lazima ugharamike hata kama hakuombi.
 
Nyinyii mshazoea kupata wanawake makanjanja sio wenye mapenzi ya kwel ndo maana mnafikiri kila demu ni kanjanja
punguza povu ndugu, wewe ni msomi lakini kuna sehemu umechanganya mambo.

katika tasnia ya soga, tambua hakika kuwa kuwasimulia watu habari zako binafsi inakirihisha/inakera, inaboa, inaondoa uaminifu na kuakisi uongo au umewadunisha hadhira yako.

kwa hili, umeandika kichwa murua kabisa na ukaweka utangulizi mzuri, tatizo kiini ukakisheheneza soga za mapenzi yako na huyo mshika pesa za watu. mwisho ukahitimisha kwa kutukosoa kua tunapapukia wapenzi na kujiona tunapendwa; huoni umesahau 'HATUPANGIWI' the slogan says?

ungejaribu kuitiririsha story yako ya kufikirika hata kwa kuipitisha kwa rafiki yako au jamaa lkn kujiingiza moja kwa moja kama mhusika mkuu na kutoa maoni kukosoa mfumo wa wengi umelichokoza povu mwenyewe.

sifa ya mwanaume daima ni kuihudumia familia na wategemezi wake, kinyume chake nasi tutakuponda umebemendwa!

subiri sindano zako sasa msomi wewe wa laki 3 lakini hata kigoda kwenye daladala ulibaniwa. huoni unatia aibu na elimu yako ya chuo?

kwa andiko lako nikirudia kuona mwanachuo analialia njaa humu jf namfyekelea mbali. kumbe hamjitambui! laki 3 matanuzi na kimwana (hii umeidharau ni ndogo) na ole wako kesho utusumbue umekosa hela ya mtihani.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
asa we tajiri wa hela lakn masikini wa akili, kichwani kwako ni pumba tupu[emoji23]
.
na wadada wa mjini wanapenda kweli wanume kama ww mwenye hela afu hawajui kutambua kuwa mwanamke anakupendea hela, anakuchuna akiona haitoshi anakutoa kafara, miladi yote anabaki nayo yeye hata mama ako alokusomesha hapati hata mia we ukiwa haupo.
.
pole[emoji23][emoji23][emoji23]
We pumba,... kamalize shule una limbukeni na ushamba mkubwa, bado mnapanda daladala sasa akuombe nini wewe masikini, budget ya chakula na nauli 10,000 Duh.......
 
Sijasoma story ila naunhana na wadau hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…