Sio kwa demu wanguWe usijali kuna mtu anampa hela kwa niaba yako
Kama vile upo kwenye akili nawajua Sana hawa members asilimia kubwa hawajui mapenzi ni niniMtoa mada, subiri kuitwa Mario na wajinga wa humu jf
We pumba,... kamalize shule una limbukeni na ushamba mkubwa, bado mnapanda daladala sasa akuombe nini wewe masikini, budget ya chakula na nauli 10,000 Duh.......wanaume wengi wamekuwa wakikutana na changamoto ya kuchunwa na wanawake ila nataka niwaambie kitu mwanamke anayekupenda hawezi kukuchuna lazima akujali na kuwa nahuruma na hela yako labda Kama atagundua huna future naye. Mfano mzuri kwenye relationship yangu Mimi nimekuwa na uhusiano na demu mmoja ambaye anafanya kazi benki na Mimi ni mwanafunzi wa chuo huyu msichana hajai kuniomba hela yoyote tokea niwe nae.
Kuna siku moja nilimtoa kidogo out nilikuwa na Kama laki 3 hiv kwaajili ya kuspend Mara nikapata homa ya gafla nikawa sijisikii vizuri ikabidi mpenzi wangu anipeleke hospital na kila kitu alilipa yeye kuanzia dawa mpaka kupima Bila hata kumwambia afanye hivyo baada hapo tukagairisha mtoko wetu ikabidi anisindikize wakati tukiwa kwenye daladala akaniombea sit kwa mtu mmoja cos nilikuwa ninaumwa Sana jamaa akakubali na Wala sikumuomba demu wangu aniombee tukafika stendi ya home kwetu akaniaga anaenda home kwake nikamwambia Basi chukua elfu 10 hii ya nauli akachukua ila hela hiyo hiyo niliyompa akaninunulia matunda na samaki iliyobaki ndo akachukua kurudi kwake.
Nakumbuka siku ya happy birthday yangu alinialika home kwake ambapo alikuwa amepanga chumba kizima na analipa Kodi ya chumba laki moja kwa mwezi akaniandalia msosi wa nguvu ilikuwa ni wali wa maji,mchuzi wa loast ya kuku,nyama ya mbuzi iliyokaangwa,njegele na juice na siku hiyo akanipa zawadi ya saa na rubber.
NB: wanaume tujitahidi kwenye kuchagua wanawake unakuta demu anakuonesha mahaba wakati anataka hela alafu unajisifu unapendwa ebu jiulize Mara ya mwisho mpenzi wako kukufanyia Jambo zuri ni lini? Tuchukue taadhali Mimi japo nina demu mkali lakini demu wangu ananijali na ananipenda na Hana tamaa za hela.
Kwani nimekuambia simpi? Ila aniombagi ila ninampa na wakati mwingine anakataa.ila kumpa ni wajibu kama mwanaume wake
Wapi nimesema budget ya chakula ni elfu 10?We pumba,... kamalize shule una limbukeni na ushamba mkubwa, bado mnapanda daladala sasa akuombe nini wewe masikini, budget ya chakula na nauli 10,000 Duh.......
Mtoko wa laki 3 afu mnapanda daladala.
Api basdei tu yuuuuu
Nyinyii mshazoea kupata wanawake makanjanja sio wenye mapenzi ya kwel ndo maana mnafikiri kila demu ni kanjanjaWe vipi subiri zamu yako itakapofika utajua tu kuwa huwa ana notebook na huwa ananakili yote.. huo ni mtaji tu atakapoanza kurudisha atatoka na faida juu
Kuchunwa ama kutokuchunwa Kuna halalisha vipi kuwa unapendwa au haupendwi..?Nyinyii mshazoea kupata wanawake makanjanja sio wenye mapenzi ya kwel ndo maana mnafikiri kila demu ni kanjanja
Wenzako hawaamini kwenye kupendwa kiasi ambacho hela sio kila kitu kwake wanamini kutoa hela Sana ndo kupendwa somo la mapenzi limewapita kushoto ndomaana wanatoa mapovu humu.kuhusu ndoa bado ila nimwamke anaenifaa suala la ndoa litakuja muda muafaka ukifika.Hongera sana Mkuu kwa kupata Mpenzi anaekupenda ambaye hakuombi pesa, mnafunga lini Ndoa?
Tumepitia huko, mademu dizaini hiyo ni wale wenye midomo sana na wajuaji, wanaume wanaojitambua wanawakwepa. Wanapopata ambao ni lege lege kidogo huwagharamikia sana, kufunika machungu ya kupigwa vibuti na wale wanaojielewa.After all, wewe ni mwanafunzi akikupiga mzinga mara mbili si utaingia mitini ?Wenzako hawaamini kwenye kupendwa kiasi ambacho hela sio kila kitu kwake wanamini kutoa hela Sana ndo kupendwa somo la mapenzi limewapita kushoto ndomaana wanatoa mapovu humu.kuhusu ndoa bado ila nimwamke anaenifaa suala la ndoa litakuja muda muafaka ukifika.