Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 178,458
- 196,173
Mauno ya kukata kwenye jukwaa ni tofauti kabisa na mauno ya kitandani... lazima ujue hilo...
Jukwaani ni ya kifurahisha watazamaji na kutafuta sifa...
Ya kitandani ni ya mahaba/starehe hata ukatikaji wake ni tofauti...
Ndiyo maana unaweza ona mwanamke anakatika sana au vizuri kwa majukwaa au mziki... lakini ukimuweka kitandani hata mguu hasogezi...