i am oficially applying TO DIFFER WITH YOU!....
i mean hiyo ni ONESELF REACTION!....and guess what ni udhaifu mkubwa...
inaweza kuwa ni uamuzi sahihi lakini on the other hand sio sahihi(UNLESS YOU PROVE IT SCIENTIFICALLY)
kwasaabu gani....!wapo waliowafukuza wake zao kwa kuwafumania mara moja,AGAIN WALIKUJA KUOA WANAWAKE AMBAO WALIKUWA WANAWAFUMANIA MARA MOJA KILA WIKI!....the opposite is the case then!
lakini pia sijawahi kuona mwanamke anamtimua mwanaume ''chini ya jua''
Lunch pekee haitoshi...count me out...Karibuni chakula cha mchana Kempinski...............kila kitu juu yangu........................:tongue::tongue::tongue::tongue::tongue:
...hayo ni matokeo ya frustration!i no wonder.....najizungumzia mie hapa, nakutimua kabisa...na nimetoa mfano wa ndugu yangu naye alitimua mwanaume....
...hayo ni matokeo ya frustration!i no wonder.....
huyo nduguyo alikuwa na''lake jingine''.kwasababu kama kulikuwa na TRUE LOVE,hakuna biashara kama NAKUTIMUA!
the theory is no longer into application!.....
hiyo inafanana na zile theory za ''kazi ya mwanamke ni kunizalia watoto''
maisha yamebadilika kiongozi!.....
ha ha ha ha!....jamani hata wanaume huwa wananun! (off topic............nisije kupindisha mada husika)
kwa kukusaidia tu Teamo ..........ushahidi wa kisayansi upo
ScienceDirect - Ethology and Sociobiology : Mate selection criteria : : A pilot study
ScienceDirect - Journal of Experimental Social Psychology : What do men and women want in a partner? Are educated partners always more desirable?
ScienceDirect - Ethology and Sociobiology : Gender differences in mate selection criteria: Sociobiological or socioeconomic explanation?*1
i hope uko katika position ya kuweza kufungua na kusoma hizo papers zilizochapishwa kwenye international journals
hapa nakukubali!ndio mana hakuna formula kwenye mapenzi...ngoja niishie hapo ctaki kufika mbali na hilo....
Huyu hata kwenye malumbano anahitaji SCIENTIFIC PROOF!Hadi aone test tyubu ndo aamini....kuna siku atafumaniwa halafu atadai 'scientific proof' ya hilo fumanizi.
VERY UNPRACTICAL!....jamani hata wanaume huwa wananun! (off topic............nisije kupindisha mada husika)
kwa kukusaidia tu Teamo ..........ushahidi wa kisayansi upo
ScienceDirect - Ethology and Sociobiology : Mate selection criteria : : A pilot study
ScienceDirect - Journal of Experimental Social Psychology : What do men and women want in a partner? Are educated partners always more desirable?
ScienceDirect - Ethology and Sociobiology : Gender differences in mate selection criteria: Sociobiological or socioeconomic explanation?*1
i hope uko katika position ya kuweza kufungua na kusoma hizo papers zilizochapishwa kwenye international journals
Huyu hata kwenye malumbano anahitaji SCIENTIFIC PROOF!
VERY UNPRACTICAL!....
wadanganye wanao danganyika!
mi sidanganyiki kwa ma-journal ya ajabu ajabu
jamani hata wanaume huwa wananun! (off topic............nisije kupindisha mada husika)
kwa kukusaidia tu Teamo ..........ushahidi wa kisayansi upo
ScienceDirect - Ethology and Sociobiology : Mate selection criteria : : A pilot study
ScienceDirect - Journal of Experimental Social Psychology : What do men and women want in a partner? Are educated partners always more desirable?
ScienceDirect - Ethology and Sociobiology : Gender differences in mate selection criteria: Sociobiological or socioeconomic explanation?*1
i hope uko katika position ya kuweza kufungua na kusoma hizo papers zilizochapishwa kwenye international journals
ha ha ha!Yamebadilika lini wakati sisi hayo mabadiliko hatuyaoni? Mkuu hebu waulize watu wanaofanya sociological research wanapataje data kabla ku-prove au ku-disapprove theories? Simply aanawahoji watu na kupata majibu. Sasa mimi nakueleza kilichonitokea wewe unabisha? Basi tuletee hizo takwimu zako. Usihau kutuwekea sample size, p-value na 95% Confidence intervals! !
Umeonae?baada ya kufika hapo naomba tu nikuwache uendelee ..........mi na wewe tunaongea katika wavelengths tofauti kumbe! π
bora umeliona hilo....baada ya kufika hapo naomba tu nikuwache uendelee ..........mi na wewe tunaongea katika wavelengths tofauti kumbe! π
kwa utaalamu wa gaijin wa kutumia mitandao vibaya naweza kudisplay 50 successive marriages (PRACTICAL ONES) ambazo wanawake ni matajiri wakubwa!kwasababu ni swala la kutype tu na ku-search.Umeonae?
SHIDA INAANZIA HAPA!...kama ushahidi wa journals za international huutaki, usingezungumzia suala la sayansi.....
ukweli utabaki vile vile kama ulivyothibitishwa na wazungu male prefer wanawake wenye Social and Economical Satus ya chini kuliko wao...........