Mwanamke anayejitambua, wanted for serious relatioship

Mwanamke anayejitambua, wanted for serious relatioship

KisakaJr

Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
18
Reaction score
0
Mimi ni jinsia ya me, umri wangu ni mid. 30's, I am well matured, najitambua, nasali kanisa la roman,muajiriwa, darasani pia nimehudhuria kiasi. Sio mnene sio mwembamba, am looking simple.
Natafuta mwanamke/Binti anayejitambua tu…….mwenye sifa zifuatazo:

1.
Awe 27 au chini ya hapo…..don't try if you are above that age.
2. Not married not single mother.
3. Am sorry for Muslims girls or walokole unless you agree to follow me but Christians RC most wanted.
4. Am sorry for Flat Screen team kwa kuwa sitopenda kuwana michepuko, hivyo coursework kati ya 32 hadi 37 inahusika hapa.

Karibuni. PM yenye maelezo ya kujitosheleza itajibiwa w
ith no jokes ifyou play a game with me step aside.
 
Omg.! Hlo neno coursework my lecture told mi nlvyokua napandsha ngaz
 
Jiangalieni wadada !watu ni tapeli wa mapenzi mtalia sana ukinaswa subiri wakati wa mungu humu jf wengi wamelia sanaaaa
 
Back
Top Bottom