so unamaanisha wanavaa kulingana na influence ya watu wengne siyo watakavo wao. Kiruuu!
Hivi kiukweli ukivaa nusu uchi utapendeza? May be sina interest na uvaaji huo ndo maana naona kama mtu anakosea. I agree with u to say a person wear the way he/she likes. Bt do you thnk kwamba kama jamii inayokuzunguka au mazingira wangekuwa hawapendi style hyo utavaa kwa sabbu unataka?. What if you bf dnt like that style, will u stl dare to go on it?Mtu anavaa kwa jinsi anavyopenda.Malezi na maadili aliyolelewa nayo pia yanachangia kwenye mavazi anayochagua aidha ya kujistiri au la.Wengi wanaovaa nusu uchi wanavaa kwasababu fulani amevaa na amependeza,kupenda kuiga mila na utamaduni wa magharibi unatuathiri sana!Mwanaume pia anachangia jinsi mwenza wake atakavyovaa na vice versa mfano ukishaolewa maanake unamilikiwa na mtu unapaswa kulinda heshima yako na ya mumeo.Ukiabika wewe na upande wa pili utadhurika yaani unajiwakilisha ww na mumeo popote uendako!kwa ujumla maisha tunayoishi yanaathiri sana mavazi na mienendo yetu kwasababu hatuishi maisha ya uhalisia wetu!
yap influence inachangia sana na kumbuka ndege wafanano huruka pamoja so ukijikuta katika mazingira ambayo uko tofauti either ubadilike vinginevyo hutaweza kuambatana nao
Katika kitu ambacho Mungu kanisaidia kukiepuka na influence ya mtu yani always huwa nabaki kwenye msimamo wangu
Humu mmu bana kila mtu msafi, ana msimamo, anajua mambo...basi huko bongo wanawake wote ni malaika eehe
inategemea na mazingira yanaweza kumbadilisha mwanamke avae vipi kuendana nayo
Katika kitu ambacho Mungu kanisaidia kukiepuka na influence ya mtu yani always huwa nabaki kwenye msimamo wangu
Mkuu mm ni mfuatiliaji mzuri sana wa mambo yaani nafuatilia hapa naona.. Yaani watu wanajidai so inocent..utadhani bongo huko kuna malaika..sasa hao wanaovaa nusu uchi posta hapo na kuzungusha macho hukuna kule wanatoka wapi..makahaba tu
Hiyo dhana yako ambayo bado unayo eti mwanamke ni dhaifu sidhani kama ipo kwa mazingira ya sasa hivi
Mkuu mm ni mfuatiliaji mzuri sana wa mambo yaani nafuatilia hapa naona.. Yaani watu wanajidai so inocent..utadhani bongo huko kuna malaika..sasa hao wanaovaa nusu uchi posta hapo na kuzungusha macho hukuna kule wanatoka wapi..
inategemea na mazingira yanaweza kumbadilisha mwanamke avae vipi kuendana nayo