thebigbobo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 168
- 17
JF is never boring
nawe ukienda kwake chukua bila kuomba, ngoma droo.
Mbona hujatuandikia kuwa alipokuomba dudu ulimpa???
akimwaga mboga wewe mwaga ugali
Kuna Mwanamke mmoja anasoma Uhasibu Hapa arusha siku ya kwanza alitaka jagi la kuchemshia maji nikampa kwasababu yalikuwepo mawili, siku ya pili akataka simu yangu ninayotumia nikakataa siku ya tatu akataka tisheti ya form six ya Tommy nikampa. Siku ya nne akataka hela ya saloon nikachomoa, sku ya tano anata hela ya shopping nikampa, siku ya Sita akaniambia nikiomba kitu simpi kwahiyo ataanza kuchukua bila kuomba. Nimeshituka amechukua tisheti za form six sita. Nimejidai nimeenda Dar ili kumkwepa. Wanajamii nimtoe vipi nduki! Huyu manzi

Tshirt ya form 6 ya Tommy ndio tshirt ya namna gani?
Kama lile unalovaa ukija hapa maskani...lina kinembo cha rangi ya bluu na nyekundu kifuani
Aaaah lile uliloninunulia?