Mwanamke anaridhishwa na nini?

kujali hisia za mkeo
Kutoa dozi ya maana.
Usiku kadri inavyowezekana na bila kusahau asubuhi lazima moyo uwake kabla ya kujiandaa kwenda kaZini.
Na uvinza ni muhimu sanaaa.
Yani kupiga vigele gele mwanaume ni laZima sio ombi wala option.
Kitu kingine mpe mpunga. Yani usimhesabie. Wewe mmwagie pesa akasuke avae .hadi azimie
Mzigua90
 
Kila mwanaume anataka kuona mwanamke wake anaishi vizuri huku akiwa na utulivu na furaha muda wote bila kurubuniwa na wakware.

Je nini humridhisha mwanamke katika mahusiano?
Kama Mungu alimwandalia mazingira mazuur ya kuishi lkn hakuridhika, je unahisi wewe mwanadamu utaweza kumridhisha tena
 
MSIKILIZE,MUHESHIMU,MJALI KTK MAHITAJI YAKE NA MWISHOOO KABISA KITANDANI JITAHIDI UMKOJOZE....
 
Hakuna mafundisho yanayo itwa JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE.
Bali kuna MAFUNDISHO YA NDOA.

Ukipitia mafundisho ya ndoa ndipo utajifunza hitaji la msingi la MKE na hitaji la msingi la MUME kwenye ndoa
Kwahiyo hayo mafundisho ukiyapata kazi yake ni nini au kuishi na mifugo nyumbani kama mbwa paka na kuku embu fafanua
 
c0962112401637de3ec91a706049ca8e.jpg
if you give hela she will bring bankrupt
 
Mkuu
Nampa hela
Nampa hela
Nampa hela tu
Nampa hela tu na Nampa hela..
Ingekuwa hela ni suluhu ya hili tatizo kama wengi mnavyoamini basi Mzee Mengi asingeachana na mke wake mkubwa na kupata furaha na amani kutoka kwa Jacqueline. Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana ulimwenguni.Tafakari.
 
kujali hisia za mkeo
Hii imetughalimu sana wanaume. U anapomfanya mwanamke special kweli mwanzo yanakuwa sawa. Akishazoea hiyo hali hiyo attention yako haioni tena, anaanza kudai vingine zaidi mpaka vinageuka kero kwa mwanaume. Pamoja na kwamba humu mnadai mnataka mwanaume anayejali uzoefu unaonyesha haichukia muda mrefu wanawake hukinai kule kujali anakopenda toka kwa mwanamke. Nilichojifunza lazima mwanaume uwe kote kote. Ukijali zaidi ni sababu tosha ya kuja kuachana na umpendae. Wanawake hawapendi mwanaume anayewakubalia kila kitu. Wanataka siku nyingine unakataa kuwa upande wake. Inasaidia kuwa control la sivyo hujisahau kabisa na usishangae akaenda kwa mwanaume anayemzaba vibao we umekalia eti unajali sana.
 
hhahaaha aisee kweli nyie hamtuelewi !haya mkuu kila la heri !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom