kama no moja haupo basi una bahati...mimi zaidi ya kuchelewesha watu huwa najichelewesha mwenyewe.....Hayo mengine sina uhakika sana, ila hilo namba moja halinihusu hata kidogo
Kawaida ukinivurumua kutoka nitakwambia "huwezi safari na mimi, maana nahitaji muda wa kujitayarisha nawe huna muda huo, hivyo nenda"
Ila nikikwambia nahitaji nusu saa, ni nusu saa kweli
Na hapo ujue nishaweka na dakika za akiba, ili nisikucheleweshe
kama no moja haupo basi una bahati...mimi zaidi ya kuchelewesha watu huwa najichelewesha mwenyewe.....
Hapo Mkuu sikubaliani nawe kabisa, nahisi " Kama jicho la huruma "
kama ukijikuta unatazamwa kwa jicho la namna hii, MAJANGA.....
kama no moja haupo basi una bahati...mimi zaidi ya kuchelewesha watu huwa najichelewesha mwenyewe.....